Reverse racism

TWANJUGUNA

Member
Jun 6, 2010
28
1
Rafiki yangu toka ngambo -tena mwanaharakati wa haki za kibinadamu- juzi kanitembelea. tulitalii sehemu nyingi east africa. kila tulikofika mikoani tulipata vitoto kwa mzaha vikiita ''hallo! hawa-yu!....mzunguuu....!
He feels this is discrimination in reverse!
 
Hapo sijaona ubaguzi hata kidogo,,sisi tulio huku kwao mbona hatulalamiki??? ni majuzi tu nilikuwa napita mtaani watoto wakawa wananizomea na kuniita mie Nyani,,,kuna mji nilikwepo miezi michache tu iliyopita nipo kwenye basi nimekaa hakuna mzungu aliyekubali kukaa pepmbeni yangu kisa mie mweusi

Hakuna mijitu mibaguzi kama wazungu nashangaa unavyomsikitikia huyo rafiki yako mshauri wao kwanza wapinge ubaguzi, hao watoto walikuwa wanashangaa tu rangi yake na sidhani kama walikuwa wanamzomea
 
Rafiki yangu toka ngambo -tena mwanaharakati wa haki za kibinadamu- juzi kanitembelea. tulitalii sehemu nyingi east africa. kila tulikofika mikoani tulipata vitoto kwa mzaha vikiita ''hallo! hawa-yu!....mzunguuu....!
He feels this is discrimination in reverse!

You can learn and understand well what is racism when you're in the racists countries. Hao wathungu ndo wenyewe kwa ubaguzi bana...Inawezekana hata wewe kama ni rafiki yake hakuweza kukuamini kabla iwapo unajua yote ambayo umemfanyia ikiwemo hata kuongea lugha ya kwao (kithungu) pengine alishakuuliza "unaongea kiingereza kizuri kama mzungu" (hiyo ni aina nyingine ya ubaguzi wa kujiona wao ni bora zaidi. Yapo maeneo mengine mweusi hata kupita barabarani unajisikia vibaya jinsi jamaa wanavyokuangalia!!tuliwahi kukataliwa kufungua mpaka akaunti za benki wakiamini ni matapeli na hatuna hela..unaingia public pub ya public lakini bado unaona walinzi wanahamisha kabisa attention kwako kama mhalifu vile, watakukagua kama unapanda ndege vile..

Angali hizi clips ndo utajua hao jamaa wapo vipi huko kwao na ndio maana huyu rafiki yako alihisi akiliposalimiwa na watoto weusi wasiojua kitu akadhani ni ubaguzi!!.

Discrimination is a discrimination, there is no such kind of "reverse" or "forward" discrimnation!

Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom