Revealed: Viongozi Jukwaa la Wahariri walimwalika Nchimbi katika maandamano

Hivi nia na dhamira ya ndani ya ndugu meena ilikuewa ni nini,unapatwa na wasiwasi kwa sababu hawa ni watawala wanaweza kukudhadia chochote kutoka kwenye hadhina ya watanzania.hawa watawala hawana aibu eti!nahurumia sana tasnia ya habari kama hata watu kama kina meena wanajikuta wakijaribiwa na watawala katika jambo zito kama hili

naposema haya narejea kwenye apology aliyoifanya ndugu meena shortly baada ya nchimbi kuondoka sitaki kuamini kuwa ilikuwa ni msimamo wa wanahabari wote
 
Serikali Hovyo Hovyo,Viongozi Hovyo hovyo,wanashindwa kuchukua maamuzi stahiki!
 
Fallacy argument. Hasty generalization. That is beyond impossible mkuu Lyimo. Lakini la bahasha limetoka wapi tena hapa. Si vyema kutuhumu mtu kwa tendo kama hilo, kiasi hicho bila ushahidi. No plz.
I use the same logic to argue why Mh.Nchimbi atokee jukwaani kupokea maandaamano ya waandishi wa haabari. Tangu wawaliochangia waandishi wallijua wanapokelewa na wahariri ili kutoa maaziimio yao. Walipata taaruki kukuta waanapokelewa na kiongozi wa wale wanaowatuhumu. Unafiikiri kama haukuwa mpango wa kando wa Meena na Nchimbi katika kujaribu kujisafiisha. Kama alimwalika iili aje apokee maandamano na kujiibu tuhuma kwanini hakuwajulisha waandishi kabla. Hujaona waandishi walimkataa hata baada ya kujaribu kuombewa azungumze machache jukwaani? Mbona waziri hajasema kuwa alikuwa na mwaliko rasmi? Kunamaswali mengi yanayodhihirisha kuwa ulikuwa mpango wa kando.
 
In his right mind Nchimbi aliona ni busara kuhudhuria hiyo event? It is easy to kusema kaalikwa ni huyu au na yule, but the buck stops with him - Nchimbi.

Kama anashindwa kufanya judgement kwa jambo lililowazi kama la kutohudhuria maandamano ya watu wanaoombeleza kifo ambacho kimesababishwa na watendaji wake, anaweza nini?

Very LOGOC!!!
 
Mkuu haukuwa mwaliko rasmi wa barua, it was informal

Hizi juhudi za kujaribu kumchafua Neville Meena kwa madhumuni ya kumsafisha mvamizi Nchimbi unafaidika nini?
Kama waziri anaweza kujipeleka kwenye maandamano ya wanahabari bila barua basi anaonekana alivyo bogus na mtu mwenye akili timamu hapotezi muda kumfikiria Meena katika hili.
 
Mkuu Kiranga!
Mbona hata hao waandishi wa habari wengi ni vodafasta! Bongo ukiwa na laptop na Camera wewe ni mwandishi wa habari angalau zamani walikuwa wanakwenda TSJ; hiyo kumfukuza Nchimbi imewasaidia kitu gani? Nchimbi bado ni waziri wa mambo na kama wana malalamiko ya ziada Nchimbi ndiye atakayezungumza nao .

Chama
Gongo la mboto DSM

This is typical ccm type of thinking.
 
Ata mimi nilishaanza kum dought huyo NEVILLE MEENA ni aina ile ile ya waandishi wanaotumia matatizo kutaka kuona wao wazuri na kujikomba kwa serikali ni mchumia tumbo bado ana fikra ili awe na mafanikio makubwa inabidi awe karibu na mawaziri.
 
huyu waziri ni bora walimtimua, tena hata yeye wangemsusia mpaka pale ambapo angechukua maamuzi sahihi... Kauli zake za kwanza hazikuonyesha kuhuzunishwa na na ya yaliyotokea zaidi wa kuwatupia lawama chadema na dr slaa, wakati ushahidi wa picha ulikuwa wazi wazi kabisa. Sasa iweje leo ajumuike na waliokerwa na ofisi zilizo chini yake?
Hapa waziri kaonyesha udhaifu mkubwa, kuanzia reaction na kauli zake za mwanzo mpaka kukubali kualikwa kishikaji. What a shame!!!
 
Ahaaa ndio maana cku ile Nevile Meena alikua akiongea kwa kujihami sana kumbe alishaongea na Nchimbi kitambo,jamani waandishi wa aina ya Nevile kuweni makini na uandishi wenu kwani mnakua sehemu ya matatizohapa nchini
 
Wana JF

Nimethibitishiwa na msaidizi wa karibu wa Waziri wa mambo ya ndani kuwa mmoja wa viongozi wa juu wa Jukwaa la wahariri na aliyekuwa na jukumu la kuandaa maandamano hayo Bwana Nevil Meena ndie aliyemwalika waziri nchimbi kuhudhuria maandamano ya wanahabari

Bwana Meena anadaiwa kumruhusu waziri kuja kwenye maandamano kama mtu wa kawaida sababu watu wote walikuwa wanakaribishwa. Hii ndio sababu ilimfanya Meena kupatwa na aibu pale waandishi walipomkataa waziri kuhutubia huku yeye akiwaomba wamsikilize lakini nguvu za umma za waandishi zikamshinda.

Hivyo itakuwa ni makosa kulaumu ujio wa waziri pale na madai kuwa alivamia. Ukweli ni kwamba alipewa ruhusa ya kuwepo pale tena ruhusa toka kwa waandaaji wa maandamano wenyewe, yaani Jukwaa la wahariri.

Nawasilisha

Makosa kikatiba au kidini
 
Du binafsi pia niligubigwa na utata kwa kauli nzuuuuuri za upole wenye kubembeleza za Meena, nikajiuliza sana ni mimi tu nina hisia za 'utovu' nidham kwa mtu kama yule ambaye anapaswa kuwajibika kwa yaliyotokea au??? naweza nisikumbuke sawasawa lakini maneno ya Meena yalikuwa kama......"Nchimbi ni rafiki yetu, tunampenda na kumheshimu.........lakini wameamua (waandishi) awapishe kidogo....."

Kazi tunayo Tz yetu..... unafiki umetuzidi, sijui tulilogwa na nani Ya-rabi!
 
.....
Bwana Meena anadaiwa kumruhusu waziri kuja kwenye maandamano kama mtu wa kawaida sababu watu wote walikuwa wanakaribishwa. ..

Wakuu kwa maelezo hapo kwenye red naona kama Meena hakuwa na kosa tena yanaashiria kuwa Meena aliombwa ruhusa ya Nchimbi kuja kwenye maandamano. Majibu yake ni mazuri tu kwamba aje kama mtu tu wa kawaida - Siyo kama waziri (tafsiri yangu) Tatizo lilikuja alipotaka atambulike kama waziri.
 
Huyo Nchimbi ni bogus, kama hujui kusoma hata picha huwezi kuangalia. Waandishi walikuwa na hasira, hakupaswa kusogea pale, na hiyo angalau walimuheshimu, angeishia kupigwa mawe! Mbayuwayu
 
Nchimbi alikosaje busara za kulazimisha akubalike pahali ambapo hatakiwi kama mtuhumiwa nambari moja?
Kama alialikwa kienyeji, alipataje ujasiri wa kuzungumza kama waziri?
Meena alipataje ujasiri wa Nchimbi (kama ni kweli) wa kumwalika Nchimbi bila ya wenye shughuli kujua?

Kama ningekuwa mwandishi wa habari na mtuhumiwa anajileta jana pale, ningemMwinyi Liwalo naliwe!, kwa kuwa hakutaka kuwajibika wala kuwawajibisha walambabuti wake, badala yake anakuja na commedy ya "suala liko mahakamani" - Kudadaadeik!
 
Pamoja na yote haya MEENA ni hatari kubwa na kansa kwa wanahabari. Bahati mbaya wengi wetu husahau haraka sana. Huyu jamaa ndo mshindi wa Tuzo ya MISA 2012 na kaikwaa muda mfupi akitokea ARUMERU mashariki na kuibuka na mfululizo wa makala kuwashutumu wanahabari kuwekwa mifukoni na wanasiasa huku yeye akitambua wazi kuwa alikuwa mmoja wao lakini baada ya kugundua tu kambi aliyokuwa akiitumikia ishaanguka hata kabla ya sanduku la kura.

Sisomi makala zake siku hizo

R.I.P Meena

ADIOS
 

bwana meena anadaiwa kumruhusu waziri kuja kwenye maandamano kama mtu wa kawaida sababu watu wote walikuwa wanakaribishwa.
hii ndio sababu ilimfanya meena kupatwa na aibu pale waandishi walipomkataa waziri kuhutubia huku yeye akiwaomba wamsikilize lakini nguvu za umma za waandishi zikamshinda.

Hivyo
itakuwa ni makosa kulaumu ujio wa waziri pale na madai kuwa alivamia. Ukweli ni kwamba alipewa ruhusa ya kuwepo pale tena ruhusa toka kwa waandaaji wa maandamano wenyewe, yaani jukwaa la wahariri.


unaalikwa kama mtu wa kawaida.......bado unataka kuhutubia........na wewe unasema hakukosea? Maybe am missing something here!!!
 
Back
Top Bottom