Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

Tatizo la Wasomi wengi wa Nchi hii ni waoga na wanafiki wakubwa...kisikia kunguru anakimbia nae anakimbia kuelekea asikokujua...Madaktari walisema huduma za afya ni mbovu hilo halina shaka wala huhitaji kuwa na PHD kulijua hilo...sasa ghafla hao hao jitu lingne linasema tunaomba msamaha tutatibu..sasa je vifaa tiba mlivyolalamikia vimeletwa?!! je wagonjwa sasa wanalalal mmoja kitandan au 4!! kama sivyo basi nyie ni wasomi njaa milikua mnacopy assignment za wenzenu mnafaulu kichwani peupeeee..ovyo kabisa,

swali la kujiuliza ni watu wangapi wanapata Tiba stahiki hapa Tz?!! wakubwa na mafisadi wao waaenda nje huduma ziko safi na bora nyie mnakalia kupiga mayowe tukasema labda mtakazia mafisadi wanunue vifaa wote tutibiwe hapa kwa uzuri kumbe nyie nao hovyo kabisaaa...yaani wanafiki kama nyie mbingu mtaisikia tu..

Maswali mazuri na muhimu hayo kamanda.

Majuzi Mh: Mbowe aliainisha masikitiko na mshangao wake mkubwa juu woga wa watanzania. Watu walioko DMV, Houston ambako ni maelfu ya kilomita kutoka Magogoni bado wanaiogopa CCM, in fact wanaogopa kivuli?! Bado wanaendeleza unafiki wangali ktk nchi ambayo ina kiwango kikubwa sana cha demokrasia na utawala wa sheria, ie Marekani.

So hii hulka yetu tena iko kwenye DNA. Mtu mwoga ni mwoga tu, no amount of schooling could change that. It's a sad fact yet again demonstrated by those puppets.
 
Kwanini Pro-CDM wengi hawakupendezwa na kitendo cha kijasiri cha madaktari kuomba msamaha?
Huo sio ujasiri bwana, ujasiri ungekuwa ni kurudi mezani na kumalizana mezani kama equal parties. Lakini hiki walichokifanya ni cha kujionesha kwamba uelewa wao ni mdogo sana, yaani tangu mwanzo hawakujia kile walichokuwa wanakifanya.
 
Maswali mazuri na muhimu hayo kamanda.

Majuzi Mh: Mbowe aliainisha masikitiko na mshangao wake mkubwa juu woga wa watanzania. Watu walioko DMV, Houston ambako ni maelfu ya kilomita kutoka Magogoni bado wanaiogopa CCM, in fact wanaogopa kivuli?! Bado wanaendeleza unafiki wangali ktk nchi ambayo ina kiwango kikubwa sana cha demokrasia na utawala wa sheria, ie Marekani.

So hii hulka yetu tena iko kwenye DNA. Mtu mwoga ni mwoga tu, no amount of schooling could change that. It's a sad fact yet again demonstrated by those puppets.
'the enemy within'
mkuu hawa waliojitokeza wanajua wanalolifanya,kwa kifupi wanatumiwa.wangekuwa waoga wasingekubali kuwasaliti wenzao.
 
Kwa hoja zako si tu naona uhafifu wa kufikiri bali hata nadhani hujawahi kufikiria maisha yako yote.
Na ni nani alikwambia lengo langu ni kufikiri. Hata kama ungekuwa na mantiki, haiwezekani kukawa na scenario mbili kwa wakati mmoja, kwamba mtu akawa hafifu wa kufikiri halafu awe hajawahi kufikiri. Nyie ndo mmeweka rehani fikra zenu kwa wenzenu
 
kwa maoni yangu huu ndio muda muafaka wa comrade ulimboka kurudi kwenye media na kutoa ukweli wote.
hiki walichofanya kinata trigger mengi sana.tusubiri tuone
 
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana...uamuzi wa busara ni kugoma kama unasababu ya msingi ya kugomea kama huna gloves, huna nyembe na wagonjwa wamejaa hadi chini ww unatibu vipi hao wtu,kibarua sio kila mtu ameajiriwa, mwanaume husifiwi kwa kuajiriwa unapiga kazi sio kusubiria uletewe...ovyooo

Hizo ni propaganda tu ambazo haziwasaidii hawa vijana na hata taifa. Acha warudi wafanye kazi na wasaidie kutibu wagonjwa ambao wengi ni wenye kipato cha chini ambao hawan hata uwezo hata wa kupost hapa JF
 
Hizo ni propaganda tu ambazo haziwasaidii hawa vijana na hata taifa. Acha warudi wafanye kazi na wasaidie kutibu wagonjwa ambao wengi ni wenye kipato cha chini ambao hawan hata uwezo hata wa kupost hapa JF

utawatibu watu huku hakuna dawa na vifaa tiba?au unataka warudi wakalete maafa?nenda muhimbili ukajionee hali ya mambo.
 
utawatibu watu huku hakuna dawa na vifaa tiba?au unataka warudi wakalete maafa?nenda muhimbili ukajionee hali ya mambo.

Dawa za muhimbili zimeisha leo wewe. Ninapoongea saivi nina mgonjwa haa Muhimbili. Au mkubwa unaposti kutoka Ulaya. Hata kumuona daktari ni tiba ya kutosha kwa mgonjwa kaka. Tuacheni siasa kwa kila jambo.
 
Dr Sakala unataka kwenda kuonja chai ya ikulu?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
I had a feeling about the whole msamaha thing. Mambo mengi yatakuja kudhihirika tu hapa JF. Haingii akilini kwa madaktari kugoma vile mfululizo halafu madai yenu hayajatekelezwa, leo wanaibuka na kuomba msamaha as if hawakujua walilokuwa wanafanya au waligoma at gun point?!!!
 
utawatibu watu huku hakuna dawa na vifaa tiba?au unataka warudi wakalete maafa?nenda muhimbili ukajionee hali ya mambo.

Watu wengi hapa JF sidhani wanajua hali halisi ilivyo Muhimbili. Yaani kwa jinsi ilivyo sasa ni bora madaktari wagome ijulikane hakuna huduma ili wagonjwa waende hospitali binafsi au kwa waganga wa kienyeji kuliko hivi sana ambapo madaktari wanazuga tu huko wodini na wagonjwa wanakufa ovyo.

Na huu uhuni wa serikali kuonesha kwenye public kuwa madaktari wanaendelea na kazi kama kawaida, ilhali huko hospitalini huduma ni zero ni kuwahadaa wananchi tu. Hivi sasa ukiwa na mgonjwa wako kwenye hizi hospitali za serikali, lazima umuunganishe kwa dokta unayemjua la sivyo itakula kwako. Hali hii haitakiwi kuachwa iendelee hivi hata kidogo. Madaktari bado wapo kwenye mgomo. Lakini mgomo wa sasa ni wa kimya kimya.
 
mwanza kivipi?soma tena utaelewa mkuu.

mkuu sijakuelewa unaposema mwenyekiti wa ccm wilaya ya kinondoni wakili makene? mimi mbona namjua m/kiti anaitwa ARON MWAIKAMBO! Thibitisha jina la nwenyekiti ili nitiririke maana nina ukweli unaohusu ushiriki wa m/kiti wa ccm (W) kinondoni ktk sakata hili ila si kwa jina ulilotaja hapo. thibitisha ili niweke ukweli wangu, maana hata mimi wamenikera sana hawa vijana kula matalishi yao
 
Kila kitu kina mwisho wake. Nadhani wamechambua faida na hasara ya uamuzi wao na kubaini kuwa kuomba msaada ndiyo njia mwafaka ya kuendelea na maisha. Hao kina Slaa wenyewe waliowachachoea hawajawasidia hata senti. Hata mashabiki wa migomo hapa JF hawana msaada wowote kwao. Kumbuka hawa vijana nawao wana malengo na ndoto zao. Wameamua kuweka siasa chini na kuamua kukubalina na hali halisi. Na huo ndiyo uungwana. Tunaojidai kuwalaumu tujiulize sisi binafsi tumewasaidiaje tangu wapoteze ajira zao zaidi ya kushinda tunapost hapa JF tu.

This thinktank == sinktank == Drainagetank == SewageTank == sceptictank
 
Hiv sasa kuna ct scan kila hospitali ya mkoa, x-ray kila zahanati, wodi na vitanda vipo vya ziada hadi wale wanaotaka kukodi watumie kama godown au kufugia kuku wanakaribishwa, dawa na vitendanishi tunavyo kwny magala yenye uwezo wa kufika 2016,akchuale idara ya afya iko ekwipdi kuliko idara za afya zote hapa duniani sema tu madokata walikuwa wamekalia bongo zao ndo maana hawakuweza kuona, walipoona wakaomba samahani. Ovukosi sasa hivi tunasubiri meli ya chaki kutoka ufilipino ikifika tuu waalimu nao wataomba samahani kwa kupotoshwa, heheheee!
 
Amechemka vibaya, hakujua baadh ya record zake zipo mtaan..?? Kuomba msamaha sio tatizo, tatizo ni pale unapoomba msamaha kwa kutumiwa na wakati moyon mwako bado unataman migomo zaid ili mabadiliko sekta ya afya yafanyiwe kazi..!! Za mwizi ni Arobaini ila za mnafiki.........??????
 
Jk anapenda kuabudiwa, hivyo kawatuma wajinga fulani kuwashawishi wendawazimu wachache wawasaliti wenzao.
Tuwekeeni sura zao hapa, kabla ya kuwasamehe, watufufurie wapendwa wetu, otherwise patakuwa hapatoshi
 
Dawa za muhimbili zimeisha leo wewe. Ninapoongea saivi nina mgonjwa haa Muhimbili. Au mkubwa unaposti kutoka Ulaya. Hata kumuona daktari ni tiba ya kutosha kwa mgonjwa kaka. Tuacheni siasa kwa kila jambo.

Nimegundua wewe ni fisadi
 
kama noma na iwe noma!revenge is coming!Dr ulimboka ataibuka kutoka mapunzikoni.ha ha ha!
 
Back
Top Bottom