Rev Masanilo

Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu!

hiyo ni kazi ya 'Neno' la Mungu. acha Mungu akutumie ww kufanya hivo, sasa usije ukajisifu pale matokeo yatakapokuwa mazuri useme 'si unaona ni kazi yangu hiyo!'
 
Duh Rev Masanilo hicho KiAvatar migogoro

avatar6153_6.gif
 


Kweli dasaja la kichungaji si mchezo... naona umekata sana magadi in just a few hours... Surely sasa wale matomaso watakuelewa

Kwenye uchungaji kuna kondoo na Mbuzi! kuwaweka pamoja ni kazi pevu!
 
Back
Top Bottom