Rest in peace

Namkumbuka sana Maleko enzi zile radio Tanzania alikuwa bingwa wa kutuma salam, Jamaa ameacha ujumbe kuwa mke alikuwa na low pressure usiku akazidiwa akafa alipoona hivyo na huenda akaingia kwenye matatizo akaamua naye kujiua, ameacha coster 2, hice 2, nyumba na deni la Bank mil 60 ameomba deni lake lilipwe kwa kutumia mali zake, tunategemea postmotam itafanyika leo kujua kilichotokea.
 
Back
Top Bottom