Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,286
- 221
R.I.P Prof. Leonard Shayo.
Lakini watu mnajua kuchanganya mada hata pasipo na umuhimu. msiba wa huyu prof. na CCM wapi na wapi. wakati mwingine kama hujisikii kuchangia mada unyamaze. Huyu alikuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini na aligombea urais. Nadhani heading imekuchanganya ukadhani labda alikuwa mpiga debe wa CCM.Huyo ni CCM nini,ni mbunge wa popote pale maana vifo vinawaandama nina wasiwasi wengine watajiuzulu kabla ya wakati.
Niliwahi kusema kama CCM watapukutika kama maembe wakati wa upepo.
..yaani hata hajazikwa mmeshahamishia hii thread kwenye matangazo madogo madogo...huyu alikuwa mwanasiasa na mtaalamu geneous wa hisabati na kompyuta....he dont deserve this...angalau tungesubiri azikwe....GIVE RESPECT WHEN DUE!!!
NI MAONI TU...!
aiseeRIP Prof. Leonard Shayo