Rest In Peace Prof Leonard Shayo

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
Msomi mahiri na mwanasiasa mpambanaji aliyeusaka urais kwa Mark II amefariki dunia.

Walio karibu na mlima wetu pale ubungo mtujulishe

38E413FA-3F3B-444A-AAD8-46C8FAA8E684.jpeg
 
Kama ni kweli apumzike kwa amani Prof. Tunauheshimu sana mchango wake kwa jamii.
 
Huyo ni CCM nini,ni mbunge wa popote pale maana vifo vinawaandama nina wasiwasi wengine watajiuzulu kabla ya wakati.
Niliwahi kusema kama CCM watapukutika kama maembe wakati wa upepo.
 
Nimeipta a hiiyo; huyu bwana alitengeneza historia; no one has done that; nimeambiwa na mtu aliye karibu na familia hiyo kuwa alikuwa akiugua huko arusha ila hakuwa na details; mwenmye nazo mtupe maana kuna vitu vingi;
1. kijiji cha hesabu na sayansi ( iwekeni vema h apa) kiliundwa na Mwl kikafia mikonono mwake;
2. Alitengeneza program ya madaktari ambapo kwa technolojia za TZ hazijawahi ( iko pale Tumaini Hosp ( iongezewe kama kuna sehemu zingine)- Alifaulu sijui hiyo project kama serikali iliiendeleza au ndio dharau
3. Aligombea urais kwa Mark II; hakufua dafu
4. Ni mtetezi wa wanyonge wa kweli na nimesoma makala zake nyingi pale Mwananchi na Tz daima kama sikiosei; ana kitu kichwani kusaidia wanyonge
5. Ni mwanasayansi aliyeibukia Siasa
Ni miongoni mwa Maprofessor waliotumia vema taaluma yao bila kuyumbishwa na watawala ( alisoma kiukweli ukweli -hakukariri kama maprofessor wengine wolivyo watu wa ndio mzee)
==>yangu hayo jamani kama kuna mtu alete jamvini ila kwa hakika jamaa bado anahitajika ktk kizazi cha sasa tutampoteza mtu mhimu mno.
 
Dah kama Kweli prof Shayo kaaga dunia basi ni pigo kubwa kwa Taifa na wanataaluma!
RIP Prof!
 
Huyo ni CCM nini,ni mbunge wa popote pale maana vifo vinawaandama nina wasiwasi wengine watajiuzulu kabla ya wakati.
Niliwahi kusema kama CCM watapukutika kama maembe wakati wa upepo.

RIP Profesa.

Mwiba aligombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia MAKINI alizoa 0.15% ya kura zote na kushika nafasi ya tisa kati ya wagombea kumi.

Not sure kama alirudi CCM....
 
Prof ni mwalimu wa wanafunzi wengi.He delivers what he has in a very simple way to understand and impliment. Me I won't forget his NIKINITA philosophy.RIP our beloved tutor.
 
Last edited:
Mnaanza kutoa rambirambi hata kabla ya kupata ukweli?? Jamaa aliyeanzisha hii thread keshaonyesha kuwa hana uhakika. Si mnajua JF wamekufa wengi tu na kufufuka badaye???

Nasubiri habari ya uhakika!!!
 
RIP Prof. Shayo.
Alikuwa mtu mpole na mtulivu, asiye na makeke ya usomi, aliyeheshimu kila mtu. At one point aliwahi kuwa mshauri wa Mwalimu wakati Mwalimu alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa South Commission.
 
Back
Top Bottom