Republic of South Sudan watatupita kimaendeleo sasa hivi..

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Kwa jinsi nchi yetu ilivyo na kuleana leana kwa mambo ya kipuuzi Republic of South Sudan watatupita kimaendeleo sasa hivi.....

Na je ikiwa hivyo nani wa kumlaumu? Tunajifunza nini kutokana na south sudan? Tuamke Watanzania jamani wakati ndio huu.
 
Kama tusipoiondoa CCM madarakani tutabaki kuwa nchi masikini kuliko zote duniani licha ya kuwa nchi yetu ni tajiri kwa raslimali kuliko nchi zote duniani.
 
hilo liko wazi kabisa...maana pale juba watanzania wafanya biashara ni wamasai..wanauza dawa za miti shamba...............wakenya wndo wanachangamka ile mbaya + waganda
 
Kwa uongozi huu wa koo za viongozi waasisi 2ctegemee maendeleo nchi hii(biznes as usual)
 
Back
Top Bottom