REPRODUCTION: nani hakuipenda hii topic?

Ile topic ingekuwa kwa kiswahili sipati picha!!!!mineno ya kiswahili inatisha bana!!!neno dogo tu uchi!!!linasisinua je hayo mengine!mshedede,tigo,mikasi,ki bean.....ndo mwalimu angekuwa anayataja kwa kiswahili fasaha!

shule ya msingi wanatakiwa kujifunza kwa kiswahili...nadhan wanapotezeaga walim..
 
Back
Top Bottom