REPRODUCTION: nani hakuipenda hii topic?

ha ha ha, mkulane ila msivunjane.

From baga to bumunda? Andamana kwa kweli.
Bumunda tutawaachia madogo si ni kukula bagah tu....halafu bagah ni mpinzani wako kwenye kumtafuta Shemale wa jf...hujajua bd?
 
nikiwa naoga leo...gafla nikawaza maisha yangu ya O'level...na moja kwa moja nikazama class...form 3C...moja kwa moja najikuta naikumbuka topic ya reproduction...
niliielewa kuliko zote aise...
sema ilikua inanitesa kihisia aise...
kisa: niliitwa kufuta ubao siku iyo wakati mwl ndo katoka tu kufundisha sehem za kike za uzazi...guess what?

ni jambo la kawaida kwa mwafrika kupenda vitu kama hivyo
 
watoro wote walikua wanahudhuria vipindi vya reproduction bila kukosa. I DONT KNOW WHY?
 
Mwenyewe nilikuwa form3C darasa la matukutu lazima ukumbuke hiyo topic.

aise umeongea point...
wehu wote tulikua tuko huko...
kumbe ni sehem mingi eeh?
ila Kabaka ww unaonesha tu..LOL
 
Mwalimu wetu alikuwa anatufundisha huku amefumba macho. Sijui ni aibu au nini! Sikuipenda topic.
 
Mwalimu wetu alikuwa anatufundisha huku amefumba macho. Sijui ni aibu au nini! Sikuipenda topic.

inawezekana ulikua unamuangalia sana...
mana wadada na vijicho vyenu...af mnaangalia palepale mada ilipo...LOL
 
Ile topic ingekuwa kwa kiswahili sipati picha!!!!mineno ya kiswahili inatisha bana!!!neno dogo tu uchi!!!linasisinua je hayo mengine!mshedede,tigo,mikasi,ki bean.....ndo mwalimu angekuwa anayataja kwa kiswahili fasaha!
 
Back
Top Bottom