Report ya cag na serikali za mitaa - vipi utendaji wa halmashauri zinazoongozwa na upinzani?

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
1,034
1,022
Imeonekana serikali za mitaa nyingi zina matatizo makubwa kwenye masuala ya ufujaji wa pesa. Pesa nyingi sana zinaibiwa kwenye halmashauri hizo.

Katika uchaguzi wa mwaka 2010 upinzani ulifanikiwa kuchukua uongozi kwenye baadhi ya serikali za mitaa, je hizi serikali za mitaa zinazoongozwa na upinzani, utendaji wao uko tofauti ukilinganisha na zile zinazoongozwa na CCM?


Naomba wenye data tusaidiane kuzichambua hizi halmashauri. Je mpaka sasa ni halmashauri ngapi kwa Tanzania bara zinaongozwa na upinzani? Na je utendaji wao ukoje kama ulivyoainishwa na CAG?
 
Back
Top Bottom