Reply to this website's bloggers from Tanzanian woman in a HK prison - she is real!

Fr John Wotherspoon

Senior Member
Aug 3, 2013
108
180
This lady's first letter was posted on May 14, and attracted around 80 comments, some of the comments saying the letter was bogus. Barua kutoka kwa Mtanzania aliyefungwa Hong Kong kwa kukamatwa na Madawa ya Kulevya

Well, I printed all the comments, posted them to the lady, and her reply is attached her. In fact yesterday I saw the lady to double check her letter is a reply and not a new article ...and she said she is happy to reply to further comments. She is a real person, in a real HK prison, facing a very, very long prison sentence. Her support of my campaign to warn people about the danger of trafficking to HK hopefully will earn her a little bit of mitigation.

Fr John (a prison chaplain in HK)

2016-05-31-inmate-01.jpg

2016-05-31-inmate-02.jpg

2016-05-31-inmate-03.jpg

2016-05-31-inmate-04.jpg

See many prison articles at my blog: www.v2catholic.com - espy these files:

Letters from African inmates in Hong Kong prisons

Africa File

2015
 
Thanks Father .
Is just so sad to read about this . I hope someone is taking notice .

Kwa dada ulietujibu.
Asante Sana kwa kutujibu. Na hakika unafurahia kuona kuna wanaosoma na kukujibu Vema na kuna wanao kuvamia. Either way jua ya kwamba ujumbe umewafikia na Kama haujawafikia uko njiani.

Binafsi sintakupa pole maana haisaidii.
Bali ningependa kukupongeza kwa kutumia mwanya huu kuwajuza na kuwa tahadharisha watu kuhusu haya madawa na nini kitatokea endepo watakamatwa.

Swali langu ni kwamba Je walio kutuma na kukubebesha haya madawa unawajua na Kama ndioumewahi kuwataja?

Ni hayo tu .
 
Aisee swali zuri. Ila nahisi, siyo rahisi kwa yeye kumfahamu "mwenye mzigo". Huwa wanatumana kwa ngazi.

Mtu A anampa B, B anampa C......Z. Nahisi, inafika sehemu hata mtu anapewa tu mzigo apeleke sehemu (bila kujua kilichomo ndani. Mfano umeletewa mzigo kwa basi unaambiwa peleka sehemu fulani kuna mtu anakusubiri yupo na gari namba fulani.

Kwahiyo matokeo yake ukishikwa "inabaki kuwa mzigo wako/kesi yako).

Ingekuwa inajulikana fulani kamtuma fulani na fulani kamtuma fulani nadhani ingekuwa rahisi kudhibiti biashara hii.

Sijui lakini, pengine anawafahamu.

Kuna binti wa Afrika Kusini alitishwa kwamba akitaja chochote basi "familia yake itapata shida".
Kwa Kuwa aneshakipata cha kumtosha lazima achukue hatua badala ya kupiga tarumbeta Za kulalamika. Yeye aanze kumtaja aliyempa whether ni C ama D lazima tuanzie somewhere, hii habari yabkitishiwa familia sijui nini ni kutaka sympathy atuambie huyo contact wake, ili tum task lazima tuanzie mahali Fulani Na Yeye ni kiungo Muhimu hapa Kama kweli ameamua kuwasaidia watanzania kuepuka hili balaa, hii ya barua toka gerezani hautusaidii sana ni sawa Na kusoma magazeti ya shigongo
 
Huyu Binti inaonekan ana akili mno .
cha Kwanza kabisa hakutaja jina lake la kwanza na la mwisho .
ameandika tu kilichomtokea na kuwaomba wengine wasifuate nyaya zake.

Kwa hiyo kufuata familia yake haita wezekana maana kuna wafungwa wengi wa kike
huko HK. akiamua kumtaja hata huyo "Z" itaonyesha anania ya kuwa saidia polisi na
wengine kupigana na haya madawa. kwa vile kwa sasa hana cha kupoteza mi naona
huu ndio muda muaafaka.

Ila yote hayo ni juu yake.
 
Wauza madawa wengi wanajulikana..walishatajwa na sasa hv wako makini mno ni kama wamesimama hv kuuza madawa watu wengi huwa wanajua mzigo ni wa nani
 
Kwa Kuwa aneshakipata cha kumtosha lazima achukue hatua badala ya kupiga tarumbeta Za kulalamika. Yeye aanze kumtaja aliyempa whether ni C ama D lazima tuanzie somewhere, hii habari yabkitishiwa familia sijui nini ni kutaka sympathy atuambie huyo contact wake, ili tum task lazima tuanzie mahali Fulani Na Yeye ni kiungo Muhimu hapa Kama kweli ameamua kuwasaidia watanzania kuepuka hili balaa, hii ya barua toka gerezani hautusaidii sana ni sawa Na kusoma magazeti ya shigongo
Mjomba hivi wewe wa nchi gani?unafkiri hao wauza madawa hawajulikani?skia sasa inakua hivi kuna wale ambao wauza madawa mapapa hao ndo wanaingiza mzigo tz kwa wingi af hao wanawauzia kwa kilo hawa wadogo na wao ndo wanawatuma mapunda kupeleka china na HK...sasa hao mapapa wanajulikana na washatajwa sana sana tena sanaaaaaaa...kwaiyo hata akitaja it wont mtter anymore..hata akimtaja huyo aliompa basi ukifuatilia chain yake inarudi kwa papa.
 
Mapapa wa kuuza madawa ya kulevya ni mijitu yenye sura ngumu kama mzizi wa mwarobaini... Kuidaka nchi itasimama kwa miaka 3 mfulilizo... Na hamna kiogozi yoyote au kiogozi wa nchi mwenye udhubutu wa ku deal na mapapa moja kwa moja.. Marekani wenyewe walikuwa wanatumia ndege za jeshi kupambana na wauza madawa ila wali fail.... Kupambana na wauza unga ni kujitafutia kufa kabla ya mda wako
 
Inatisha sana aiseee, dah haya tuijitahidi tusifike huko.
 
madawa ya kulevya yana tuharibia vijana wetu ww baki huko huko endelea kutumikia adhabu na pia ujifunze tamaa ni mbaya.
 
This lady's first letter was posted on May 14, and attracted around 80 comments, some of the comments saying the letter was bogus. Barua kutoka kwa Mtanzania aliyefungwa Hong Kong kwa kukamatwa na Madawa ya Kulevya

Well, I printed all the comments, posted them to the lady, and her reply is attached her. In fact yesterday I saw the lady to double check her letter is a reply and not a new article ...and she said she is happy to reply to further comments. She is a real person, in a real HK prison, facing a very, very long prison sentence. Her support of my campaign to warn people about the danger of trafficking to HK hopefully will earn her a little bit of mitigation.

Fr John (a prison chaplain in HK)

See many prison articles at my blog: www.v2catholic.com - espy these files:

Letters from African inmates in Hong Kong prisons

Africa File

2015

Moderators tunaomba huu uzi upandishwe kwenye Jukwaa linalotembelewa na wengi (e.g Habari mchanganyiko) ili hizi habari ziwafikie wengi zaidi! Sina uhakika ila nadhani kuna wengi wangependa kuzipata habari hizi na hata kuchangia mawazo chanya ila hawatembelei Jukwaa la "International"!
 
Huyu Padri alikuja hadi Tanzania 2015,kama serikali ikitaka kufanikiwa wangewasiliana nae angewasaidia sana kwenye hii vita ya madawa
 
Thank you Father for your service and relief for the prisoners and their relatives, you bridged the massive amount of gap between the two of them in a tremendous way.

Your work is priceless.
 
Back
Top Bottom