Renatus Mkinga ndani ya 98.0 fm sasa

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
fungua wapo fm
mkinga akichambua juu ya kamati
za bunge juu ya ufanyaji kazi zake
je ni kwa uadilifu au kukomoana.
na mengi
 
kafulila naye anaongea sasa
kikubwa ni juu ya rasilimali azichangi vizuri watz, then rushwa kubwa kwa wajumbe wa kamat hizi(wabunge)
ni kubwa sana n.k
 
Nani animegee kidogo kuhusu Renatus Mkinga. Nani anafahamu mtu huyu? Ni yule alikuwa uhamiaji? Anaishi Kinyamwezi njia ya Chanika? Alishinda milioni 100 za vodacom? Ila usikutane naye akiwa amelewa anageuka mbweha!
 
Back
Top Bottom