Renatus Mkinga; jiandae kuchukua jimbo, unafaa sana!

Mi nadhani CHADEMA wafanye kitu na Mkinga kufanya replacement ya Shibuda.

no,no! Soon hapo segerea patakuwa bila mbunge. Yule mwizi wa kura, Makongoro Mahanga hawezi kupona,kwa ushahidi uliotolewa. Asimame pale kupitia CDM. Kwa kuwa ni mjini,taarifa zinawafikia watu kwa urahisi tofauti na akienda mkoani. Namkubali!
 
Itabidi aende kugombea jimbo la Peramiho kwa Jenister Mhagama kupitia CDM make nasikia wananchi wamemchoka sana Mhagama,kunavijiji vingine wamempiga biti asikanyage mguu kabisa.Kisa inasemekana anapoulizwa kuhusu utekelezaji wa ahadi alizoahidi wakati wa kampeni anasema yeye hakuchaguliwa na wnanchi ila alichaguliwa na NEC kwahiyo mwenye majibu ya kero zao ni NEC .Patamu hapo!
 
no,no! Soon hapo segerea patakuwa bila mbunge. Yule mwizi wa kura, Makongoro Mahanga hawezi kupona,kwa ushahidi uliotolewa. Asimame pale kupitia CDM. Kwa kuwa ni mjini,taarifa zinawafikia watu kwa urahisi tofauti na akienda mkoani. Namkubali!
kwa asili ya ccm, maji hupanda milima!
 
mnafiki mkubwa huyu, alishauriwa ajiunge Chadema ili achukue jimbo la Songea Mjini kwa nchimbi mwaka 2010 lakini akaenda magamba na akapigwa chini kura za maoni na shilingi milioni 100 yake aliyoipata vodacom ikaishia kuhonga bila mafanikio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom