Reminder to all MMU

Dah!Kiukweli MMU kuna wakati inakera sana,unakuta thread ina page kibao,ukiangalia kilichojadiliwa ni utani mtupu Kiranga aliwahi kuonya lakini hatukusikia labda wakati huu!

Hahaha,

Talk about herding cats on a moving 3D prairie!
 
Unajua hii itapunguza hata no of Sticky threads ambazo Nyani Ngabu alilalamikia. Threads zenye mshiko zitawekwa humo, na better still michango yake haitakuwa na "nilikuwepo" sort of posts.

Asprin sidhani kama zitakosa humor kabisa, na topic muhimu si about men n woman too; kuna mengi ya muhimu ktk mahusiano. Tujaribu tuone, if it doesn't work we can always go back to where we are!
 
Kweli hlo ni wazo zuri sana utakuta m2 una serious problem na unafkri Jf is the only place ambayo unaweza ukapata mawazo na changamoto mbalimbali bt in turn of tht unaishia kudhihakiwa with non soln, so lets change plz, na pia k2 kngne me nafkr km m2 amesoma uzi flani na anahc akichangia anajckia ku2kana or whatever n bora 2 asome na kuacha wengne watoe comment za kueleweka. Ni hayo 2
 
Hoja yako Kaunga ni nzuri na kuna mambo mazuri ambayo yakifanyiwa kazi yanaweza kusaidia.

Jambo ambalo Mods wanatakiwa kutusaidia haraka, ni kuondoa threads ambazo zinaleta mada zenye mizaha mizaha, zisieleweka au zile zinazorudia vitu ambavyo tayari vilishajadiliwa/ongelewa.

Kuhusu uchangiaji...hapo napata shida kidogo. Wachangiaji wenyewe ndo sie na wengi wetu tunachangia kutegemea na watu tunaokuwa nao jamvini kwenye mada husika. Nahisi kama itakuwa vigumu ku-moderate na aina ya michango na jinsi ya kuitoa.

Anyway, tunaweza kujaribu ingawa sijui kama tutafanikiwa. Ila tukianza kwa kupunguza mada zinazopunguza hadhi ya jukwaa, naamini tutakuwa tumepiga hatu kwenda mbele!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Thanks Babu DC kwa mchango wako mzuri, l am sure mods are pondering this na watakuja na kitu bora zaidi. I hope watu wataendelea kusuggest best ways za kuboresha MMU bila kuifanya iwe dull.
 
Siungi mkono hoja

Toa sababu japo kidogo pengine ukawa na jambo zuri zaidi.
Maoni yetu yana nia ya kuboresha jukwaa ili litusaidie zaidi.

Kweli we utafurahi endapo utaomba ushauri badala ya kupewa ushauri upewe kejeli na kudharauliwa?
 
Salamu wana jamvi, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hili jukwaa kwa muda mrefu sana ila kuna kitu kimoja kina nikatisha tamaa sana,kuna thread zinaletwa hapa sijui labda ni udogo wa kufiri au ni kale kakitu tunaita foolish age? Kuna thread zinakuja hapa zikihitaji msaada wa mawazo badala ya kumsaidia mtu wanaweka utani uliopitiliza, utani haukataliwi ila uwe na endana msaada chanya wa mawazo, kuna watu wamepunguza hata uchangiaji wao kwa ninavyo ona mimi watu kama nyumba kubwa. Jamani naombeni tufikiri nje ya boksi, kuna mtu huwa naweka utani ila anatoa ushauri chanya kama lara1, kuna wa vibweka kama natalia. Michango yenu inakaribishwa
 
Ila.......... za kuambiwa inatakiwa uchanganye na zako hutopata shida kabisa.
 
Mtu anapoomba ushauri halafu mwingine analeta jokes katika jambo la maana akumbuke msemo wa waswahili useamao kuwa;

:glasses-nerdy: "Hujakufaga hujaumbikaga" :glasses-nerdy:

:nimekataa:nimekataa:nimekataakesho zamu ya nani????????????????:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa
 
Nikizidi kulialia mbele zenu mtasema natunga.... Haya nafuta machozi ili muyasome macho yangu.
 
hapo umenena kuna watu hwajitambui kama ni watu wazima wanajiona watoto wadogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom