Naunga mkono hoja ila kwa walakini!!! Mimi binafsi sio mpenzi sanaaa wa kusoma matatizo, tragedy na stress za wapenzi, japo nasomaga somaga sometimes, kiukweli japo sio poa napendaga sana MIZAHA! MIZAHA! watu wanayocomment inakuwa entertaining na interesting kwa mpigo! So hata heading ya thread kama haijanivutia nikiona ID tu ya mtu mwenye mzaha amecomment lazima nikasome amecomment upuuzi gani! Ila hata mimi sipendi CONVERSATIONS NJE YA MADA! Hasa mtu unakuta nimecomment afu jitu linaanza kuget PERSONAL na kutaka kukujadili wewe uliecomment!!!!! WTF!!!! Soma comment, umeipenda LIKE, Hujaipenda pita kimya, huwezi iquote na kuijibu! Hutaki kojoa ulale!
msifanye maisha kuwa magumu sana, siasa stress hata mmu ukumbane na stress pia?
Ingawa kuna matani mengine yakupitiliza shurti ya dhibitiwe, au pale mtu anapomporomoshea matusi mleta tatizo badala ya kumsaidia au mada za kusadikika hazifai
I am finished!
Ila kweli japo ngumu kumesa.
I am finished! Ila kweli japo ngumu kumesa.
Naunga mkono hoja,na mada zisizo na tija zidhibitiwe.Vilevile wachangia mada na waanzishaji wazingatie lugha wanayotumia,waturahisishie wasomaji maana maandishi mengine yanaandikwa kifupi mno vingine hata havieleweki! Kimsingi jukwaa linahitaji tena fagio na maboresho
msifanye maisha kuwa magumu sana, siasa stress hata mmu ukumbane na stress pia?
Ingawa kuna matani mengine yakupitiliza shurti ya dhibitiwe, au pale mtu anapomporomoshea matusi mleta tatizo badala ya kumsaidia au mada za kusadikika hazifai
Naunga mkono hoja ila kwa walakini!!! ..Hasa mtu unakuta nimecomment afu jitu linaanza kuget PERSONAL na kutaka kukujadili wewe uliecomment!!!!! WTF!!!! Soma comment, umeipenda LIKE, Hujaipenda pita kimya, huwezi iquote na kuijibu! Hutaki kojoa ulale!
Good idea,la msingi mmu iheshimiwe but mbona kule chitchat kupo free labda wale wanaopita au nilikwepo na wale wa conversation wangehimizwa watumie chitchat
mimi nafikiri chi chat liwe sub forum ya mmu
hii itasadia sana
wengine chi chat wanaiona iko mbaali sana
ikae kama love connect ilivyokaaa
mimi nafikiri chi chat liwe sub forum ya mmu
hii itasadia sana wengine chi chat wanaiona iko mbaali sana
ikae kama love connect ilivyokaaa..badala yake tujadili mahusiano na mapenzi
binafsi mmu inanichosha na threads za mafundisho ya sex kutwa
tena vitu vyenyewe ni marudio au publicity stunts....
Naunga mkono hoja ila kwa walakini!!! Mimi binafsi sio mpenzi sanaaa wa kusoma matatizo, tragedy na stress za wapenzi, japo nasomaga somaga sometimes, kiukweli japo sio poa napendaga sana MIZAHA! MIZAHA! watu wanayocomment inakuwa entertaining na interesting kwa mpigo! So hata heading ya thread kama haijanivutia nikiona ID tu ya mtu mwenye mzaha amecomment lazima nikasome amecomment upuuzi gani! Ila hata mimi sipendi CONVERSATIONS NJE YA MADA! Hasa mtu unakuta nimecomment afu jitu linaanza kuget PERSONAL na kutaka kukujadili wewe uliecomment!!!!! WTF!!!! Soma comment, umeipenda LIKE, Hujaipenda pita kimya, huwezi iquote na kuijibu! Hutaki kojoa ulale!
mimi nafikiri chi chat liwe sub forum ya mmu
hii itasadia sana
wengine chi chat wanaiona iko mbaali sana
ikae kama love connect ilivyokaaa
itapunguza mno yote haya....kingine threads za jukwaa la kikubwa zipelekwe huko
na sio mmu.....itaondoa kero kwa wasio taka kujadilui sex mmu
na badala yake tujadili mahusiano na mapenzi
binafsi mmu inanichosha na threads za mafundisho ya sex kutwa
tena vitu vyenyewe ni marudio au publicity stunts....
Kwa vile kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu jukwaa kuvamiwa, mimi nafikiri kuwepo na sub forum ya Great Thinkers kama ilivyo kwenye siasa; kuwe na qualification katika kuchangia kule. Na maswala yanayoumiza kichwa tu ndiyo yajadiliwe huko.
Post kama 'napita tu' zisiwepo,
Uchakachuzi aina yoyote usiruhusiwe,
Matani/jokes ambazo hazijibu hoja zisiruhusiwe.
Nadhani hii itasaidia wenye real problem kupata misaada ya michango ya mawazo mizuri ili wafanye maamuzi yanayofaa. Mahusiano ni changamoto na itaendelea kuwa changamoto, trend iliyopo sasa hivi mchangiaji wa kwanza akijibu hovyo au kuweka mizaha, basi trend yote ya michango hubadilika na kuwa mizaha/utani au hata matusi.
Ninajua wengi wetu, mimi mmoja wapo ni wachakachuzi wazuri tu; lkn kukiwa na restriction huko (kwamba once umechakachua then unanyimwa access ya kupost huko) then heshima ya zamani (before my time) itarudi.
Au kama kuanzisha sub forum ni tatizo basi, jukwaa zima liangaliwe upya na rules ziangaliwe tena ili vitu visivyo serious vibakie chit chat!
Sijui kama nimejieleza vizuri, lakini hayo ni maoni yangu; you are welcome to contribute.
Huwezi leta mada ambayo wengine wanaiona ina utata
halafu ukiulizwa maswali au mtu akichangia against na wewe
useme ni personal attack......
kama hutaki kujadiliwa au kuulizwa au kupingwa peleka threads chit chat..
ukileta MMU ambapo watu tunataka kuamini ni more serious basi lazima kila kitu kijadiliwe
including lengo la muanzisha thread.......na maana yake
wewe kama hupendi hiyo peleka threads chit chat au jukwaa la wakubwa ambapo
lengo la jukwaa linafahamika
unaleta mada MMU mwenyewe unasema ni 100 percent prostitution sasa na hutaki watu wa kupinge?
seriously?