Remain Curious, be inspired

ZaBeast

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
777
331
Salaam wadau....

Hiyo slogan naipenda saana na nimeiona katika channel moja ya tv, channel hiyo inaenda kwa jina la ED.

Back to the context and my intention writting za post ni kwamba nimekuwa curious nikajiunga jamii forums baada ya kusoma soma saana articles humu na lengo na madhumu ya kujiunga ni simply socialising, labda au na kufanya biashara lakini kubwa zaidi kubadirishana mawazo na uzoefu na kusaidiana katika all errands concerning life endeavours and such....


I got pretty much curious and got inspired and I love JF at times it makes me feel awesome, most of the time nasoma na ku enjoy saana maana kuna watu wa aina toafuti tofauti napenda watu wanavyokuwa explicit and such maana unaeza kukuta reply lazima ucheke...

Napenda wadau mnisaidie kitu moja...

Hivi kwanini watu wengi wapo against Le Mutuz aka akili kubwa....

Naomba mnisaidie kuelewa ama jamaa ana majigamboz ama ni kitu gani??

Lol personally nimemfahamu kupitia media na at times naona anajitahidi ku mobilize mambo and so forth.....

Lakini kila dakika akija humu mazee ni kila mtu ana m criticize ama haji hadi pawe na criticism against him.....

Mie nahitaji kuelewa what the deal ingawa najua ni room kwa kila mtu kuwa explicit wengine wata criticize na ku crash without giving valid answers...

I will weigh n check their replies and whatever maisha lazima yaendelee na curiousity made even the jamii forums itself..


Hopeful my curiosity isn't an offense!

Sincerely,
ZaBeast aka ZaWild Animal, ZaMonster in za mirror!


Namaste!
 
Back
Top Bottom