Religious noise!!

Jahom

JF-Expert Member
Aug 26, 2008
351
32
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
 
Rwanda nimesikia wameweka sheria kali kudhibiti 'makelele' kwa kila mwenye nia ya kuwasumbua wengine kwa kisingizio cha dini. Sijui nchi yetu kama itafikia hatua hiyo maana wanafiki au 'viongozi' wa dini na viongozi wa kisiasa wana maingiliano ya chanda na pete.
 
Na haya makanisa ya barabarani nayo pia kero.Jirani yangu kuna moja kila siku kelele tupu.Maspika makubwa kuliko hata ya Ngwasuma.Mungu si alisema tusali Jumapili(Ijumaa)?Halafu kwa nini nyumba za ibada ziwe kwenye makazi ya watu?Suala ya imani libaki kuwa hiari sio kulazimishana.......
 
kama ndo hivyo basi hata zile kengele ziondolewe makanisani kuweka usawa......ama kweli nyani haoni kundule
 
kama ndo hivyo basi hata zile kengele ziondolewe makanisani kuweka usawa......ama kweli nyani haoni kundule

Too much of mosques in every angle, all making unnecessary noisses. Makanisa kwenye makazi ya watu yanayopiga kengele ni almost nothing. It was not an attack that needed a counter attack. Think again
 
Too much of mosques in every angle, all making unnecessary noisses. Makanisa kwenye makazi ya watu yanayopiga kengele ni almost nothing. It was not an attack that needed a counter attack. Think again

Define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa Tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia TBL kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya Ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.
 
Hapana jamani viongozi wapo likizo hapa tanzania wanakula posho mbilimbili.Yani makelele yamezidi.kwani ukisali kimya iwe misikitini au kanisani Mungu hasikilizi? utakuta usiku umetulia saa kumi watu mnaamshwa na makelele.na wengine wanaamua kupiga mataarabu na midundiko usiku kucha wakati jirani zao wamelala.yani ni kero tupu
 
Define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa Tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia TBL kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya Ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.

"Ni kwamba makanisa na misikiti wafunge sound proof, wanatukela mno tena mno,serikali inaweza kuwambia bwana fungeni sound proof sio wanfungua makanisa alafu makelele mtindo mmoja, by the way lile kanisa la tabata kisiwani mchungaji amesalimu hamri na kulivunja na kufunga vilago baada ya kushindana na msikiti jirani, matokeo yake maumini wakaanza kuondoka mmoja moja.
 
Kondoo ni lazima watafutwe kwa njia kama hizo...Please naomba msikerwe! Masuala ya imani haya ni complicated sana..Sa ukisema makanisa yasiwe katika maeneo ya watu, yawe wapi?...Mbugani?
This situation has been existing since time immemorial, how comes now to seem a problem...Iko kitu hapa, although i might be seen thinking loud!
 
Ninashukuru kwa maoni tofauti yaliyojitokeza kuhusu suala hili. Kwa mtazamo wangu ni kuwa sasa tunahitaji sheria inayozuia kumkera mtu mwingine kwa sababu ya imani. Ni kwa dini zote.
 
Hivi hawa Wasilamu mpaka waamshwe? Yaani allah wao hawezi kuwaamsha usingizi mpaka wapige kelele.

Au ndio kulazimisha huko, dini zingine lol
 
Dini uzushi tu.Kwani mungu hawezi kuweka alarm system kwa waamini wake tu? Come to think of it, kwa nini huyu mungu mwenye uwezo wote anapapatikia sana kuabudiwa na insignificant humans? Ana upungufu gani? Anakuwa kama slavemaster bwana.
 
Hivi hawa Wasilamu mpaka waamshwe? Yaani allah wao hawezi kuwaamsha usingizi mpaka wapige kelele.

Au ndio kulazimisha huko, dini zingine lol

Kibaya zaidi unakuta adhana imerekodiwa na kurushwa kwenye vipaza sauti, kelele wanapigiwa majirani shehe anakoroma kwake, ametega alarm muda ukifika anatimka.
 
define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia tbl kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.

nakushukuru kwa busara zako
 
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.

kama huzitaki hizo kelele mbona umeenda kuishi karibu na msikiti? why dont you just shift. mimi hizo kelele ndo zinaniamsha kuja kwa ofisi meeen!
 
Dini uzushi tu.Kwani mungu hawezi kuweka alarm system kwa waamini wake tu? Come to think of it, kwa nini huyu mungu mwenye uwezo wote anapapatikia sana kuabudiwa na insignificant humans? Ana upungufu gani? Anakuwa kama slavemaster bwana.

Bluray huwa nafikiri wewe ni mtu wa aina gani nakosa jibu!
mkuu just do one thing!!!!
Never contribute to any matter regarding religion. I gues you are the only person who doesnt believe in god in our JF forum.

Blue ray wacha tubaki na tuliyolelewa nayo.

Tumelelewa na kuambiwa majina ya viongo fulani vya mwili hayatakiwi kutajwa hadharani, ingiwa viungo hivyo viko mwilini kwetu. na tumekua hivyo.

Sasa leo unapokuja na sera za kutomuamini Mungu hilo ni Jingine Bluray.

Please waache viumbe wa Mungu waendelee kumuabudu!!
 
Back
Top Bottom