Reli ya Tanga-Moshi hadi Arusha, sio reli tena bali ni msitu

mamberi

Member
Apr 14, 2012
39
2
Mimi nimetembelea maeneo ya Mabogini kilomita kama tano toka Moshi mjini nikiwa katika hii Reli, kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba hata wauza vyuma chakavu walikwisha iba ngozo za chuma zilizokuwa pembezoni mwa reli hii hazipo tena, Halafu nashanga hawa vigogo wa CCM leo wamesimama jukwaani huko Jangwani na kujisifu. Reli maeneo haya imefunikwa na kichaka haipo kama zamani tulivozoea kuiona. Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi kama hii yenye utajiri mkubwa. Wa madini ya kila aina.
 
Nchi haina viongozi kaka, naomba nikueleweshe tu. Mnaongozwa na "cartoons" au "comedians", kwa bahati mbaya, wanaoongozwa ndo worse kabisa! Hakuna anaedhubutu kuhoji coz wamepandikiziwa woga wa kutosha. Waleteni viongozi wenu hapa Kenya, waone watu wanavyowajibika. I'm afraid you will suffer greatly within the EA federation, wait and you will tell me. It's just the matter of time. You got no plans, rather politics!! You guys, better change the system of administration and try another political party, may be things may change!!
 
wewe unazungumzia vichaka hukohuko mabogini na maeneo ya chekereni kuna sehemu reliimezama kabisa ardhini haionekani ni kuchimba na sehemu nyingine haipo sijui imeibiwa? haya yote ni mafisadi wanataka malori yao yasafirishe mizigo na sio reli! Ufisadi ni kansa mbaya ndani ya nchi inatakiwa ibuniwe sheria kama china watu hawa wanapigwa chuma hadharani finish job !!!
 
kwa concept ya viongozi wetu huwezi tengeneza mabillione kwa kufufua reli, wao wana amini katika kuharibu ndipo mafanikio yanayovyo weza patikana.
 
Mimi nimetembelea maeneo ya Mabogini kilomita kama tano toka Moshi mjini nikiwa katika hii Reli, kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba hata wauza vyuma chakavu walikwisha iba ngozo za chuma zilizokuwa pembezoni mwa reli hii hazipo tena, Halafu nashanga hawa vigogo wa CCM leo wamesimama jukwaani huko Jangwani na kujisifu. Reli maeneo haya imefunikwa na kichaka haipo kama zamani tulivozoea kuiona. Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi kama hii yenye utajiri mkubwa. Wa madini ya kila aina.

Hakuna nchi duniani itakayoendelea kwa kutegemea barabara za lami tu bila reli. Kufa kwa reli za Tanzania ni janga la kitaifa. Uchumi wa Tanzania unarudishwa nyuma kwa kiasi kikubwa kwa kutegemea barabara tu. Tuna wachumi wazuri viongozi. Siyo siri kwamba hawajui athari za kutokuwa na reli. Sababu kubwa ni u-fi-sa-di uliokithiri, unaofanya vigogo walio na ma semi-trailer, makontena na ma-tanker waweze kufanya biashara vizuri, bila kujali kwamba kodi za watz zinatumika kwa kiasi kikubwa kujenga barabara ambazo zinaharibika kwa muda mfupi kwa sababu ya kila kitu kupitisha kwenye barabara. Dr HM angewafanyia watanzania 'justice' kama angefufua reli zote bila kujali ataua biashara za nani. Kazi kwako dr
 
Reli ya Dar-Tanga-Arusha haiwezi kufufuliwa coz vigogo wengi wanataka Malori yao na Mabasi yao yaendelee kutengeneza faida!!
 
Mimi nimetembelea maeneo ya Mabogini kilomita kama tano toka Moshi mjini nikiwa katika hii Reli, kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba hata wauza vyuma chakavu walikwisha iba ngozo za chuma zilizokuwa pembezoni mwa reli hii hazipo tena, Halafu nashanga hawa vigogo wa CCM leo wamesimama jukwaani huko Jangwani na kujisifu. Reli maeneo haya imefunikwa na kichaka haipo kama zamani tulivozoea kuiona. Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi kama hii yenye utajiri mkubwa. Wa madini ya kila aina.

Kwani sasa hivi reli gani inafanya kazi? Si zote zimeshakufa au ziko mahututi? Reli ya kati ndiyo hivyo tena pamoja na uhakika wa biashara kubwa ya mizigo inayopitia bandarini. Tazara nayo chali. Ukienda kwenye inland depots za hizi reli, Isaka na Mbeya, zimekuwa kama magofu.
Adui mkubwa wa Tanzania ni mtanzania mwenyewe
 
dah mi nilisikia uchungu bado kidogo nilie ni pale nilipomwon mtu anasafirisha masofa,kabati kitanda na meza zake toka tabora hadi dar kwa ths 80,000 tu...na bado serikali inashindwa kuwekeza kwe usafiri wa reli na kuishi kwe alinacha za barabara za hewani....MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom