Relationship

Richie M

New Member
Dec 28, 2011
3
0
Hi to you all members,i am 29 years old and my girlfriend has 25 yrs old,all of us we never had sex;shortly we are still virgin I can say and in our relation we have almost 6 years.We expect to marry each other next year.My question is that,my girlfriend wants to have sex,I don't know where to start while she knows about our situations we have...I need your helps
 
kaka mtoto hafundishwi kunyonya!! akizaliwa tu mwenyewe anakamata nyonyo, unadhani kwa nini hang'ang'anii kidevu anang'ang'ania nyonyo? hapa nataka kusema nini unajua? kama hili jambo si la mzaha basi yale mambo yetu utayaweza tu iwe umewahi kufanya au haujawahi..sema utachokosa ni manjonjo ya ziada tu kwa mwenzio... kwa kuwa inaonekana unaweza kutumia mtandao? simple google kwenye mtandao tafuta mambo yanayohusiana na "love making"... all the best!! kitu ikitiki uje utupe ushuhuda wa kufanikiwa
 
Songíto;3052465 said:

hahahhahhhahhahhhhahhh ikitik arudi kutoa ushuhuda
 
Mshauri tu kwamba next year si mbali panapo UHAI, kama mmvvumiliana miaka 6 seuse kwa mwaka mmoja? Mimi nawaongeza sana kwa hilo.lakini pia uwe na tahadhari kama hujathitbitsha huo UBIKIRA Kwake.........mhhhh na kwako PIA, pengine hujawahi ku-sex na YEYE lakini kwingine unagonga mambo..na ukizingatia jinsi ilivyo vigumu kuthibitisha kwa wanaume!!!!
 
Just get prepared to find that your woman is no longer a virgin. Unajua anataka akupe mapema ili ukute hali si shwari na u-get used to that situation ili hatimaye wakati wa harusi ukifika uwe umeshasahau
 
Sure.na anatakiwa afanye test kwanz evn local test like kumfinger etc.
 
Songíto;3052465 said:
kaka mtoto hafundishwi kunyonya!! akizaliwa tu mwenyewe anakamata nyonyo, unadhani kwa nini hang'ang'anii kidevu anang'ang'ania nyonyo? hapa nataka kusema nini unajua? kama hili jambo si la mzaha basi yale mambo yetu utayaweza tu iwe umewahi kufanya au haujawahi..sema utachokosa ni manjonjo ya ziada tu kwa mwenzio... kwa kuwa inaonekana unaweza kutumia mtandao? simple google kwenye mtandao tafuta mambo yanayohusiana na "love making"... all the best!! kitu ikitiki uje utupe ushuhuda wa kufanikiwa

Jaman jf raha aisee!
 
My question is that,my girlfriend wants to have sex,I don't know where to start while she knows about our situations we have...I need your helps

mbona mnatuchanganya? mmeshavumilia muda wote huo na karibu mnaoana, so kwa nini huyo girlfriend wako anataka kuharakisha kufanya mapenzi? there could be something fishy somewhere...
 
fishy or not we mmega mzigo...kama alivyosema mtu hapo juu inawezekana she s no longer a virgin so anataka akuzoeshe that fact usije ukachukia siku utakayooa......umevumilia until u r 29 yrs?we kweli mvumilivu
 
Mm she z not virgin, coz hasingeweza kuomba game apoteze ubikira kirahisi ivyo, na pili anataka ajue ur manhood, atajuaje km ww ni rizki au la? na km una uhakika mwez wa 6 piga mzgo ikifika uo wakati kama ni mbegu ishachanua na kama ardhi haina mbolea nayo utakua umejua pia!
 
mvulana wa miaka 29? Virgin?
Hebu jifanyie uchunguzi kama asubuhi na yeye husalimia dari?
 
Thanks for your comments,Uhakika kwamba ni bikira ninao 100% pia mazingira aliyokuwa nayo nayafahamu mpaka hapo alipo.Tatizo kubwa lipo kwangu.........!Sababu sikuwahi kuwa na mahusiano tofauti na msichana mwingine na Nina uhakika kuwa niko safi.Bado ninahitaji comments zenu ambazo naamini zitanifanya Baba mwema ktk familia.Ninaamin JF una members ambao wapo active ktk kutoa ushauri ktk masuala ya mahusiano na masuala mengine ya kijamii,Ki ukweli umri ni mkubwa nilionao But masuala ya kimapenzi niliyapotezea na pia mazingira yangu ya masomo na kazi yaliniweka busy,so sikuwahi kuwaza lini......!
 
Songíto;3052465 said:
kaka mtoto hafundishwi kunyonya!! akizaliwa tu mwenyewe anakamata nyonyo, unadhani kwa nini hang'ang'anii kidevu anang'ang'ania nyonyo? hapa nataka kusema nini unajua? kama hili jambo si la mzaha basi yale mambo yetu utayaweza tu iwe umewahi kufanya au haujawahi..sema utachokosa ni manjonjo ya ziada tu kwa mwenzio... kwa kuwa inaonekana unaweza kutumia mtandao? simple google kwenye mtandao tafuta mambo yanayohusiana na "love making"... all the best!! kitu ikitiki uje utupe ushuhuda wa kufanikiwa

huyo mtoa mada sijui kama anajua kiswahili.
 
Futa kauli, unamaana gani unaposema ni bikira 100%?
Usiuemee moyo, bora ukae kimya. Watu wana siri!
 
" ..alala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi bado tu wataka kufanya harusi"si mimi ni mwana FA,..We unalichukuliaje hili.
 
Back
Top Bottom