Rekodi kali za JK ambazo Slaa hawezi vunja- aongezewe muda wa urais

Kaka nimekubali sana topic yako kweli dr wetu waukweli awez kumpita fisadi yule kwa recods zake kwakuwa ndio sera yao kweli dr awez kumpita hila bro sikudanganyi ccm inakufa kifo cha mende mda si mrefu
 
Kwa kweli ninachojifunza kutokana na thread hizi ni kwamba kumbe vichwa vya watu vina content tofauti tofauti sana. Kama freedom of speech maana yake ni hii basi neno "misuse" lingekuwa halina maana. You are only fortunate that alot of people have decided to stoop, hence thier support to this kind of stuff.

umekalia OVEN nini mkuu mbopo una Temperature kali sana
wewe ni mvuke hakuna wakusimbuka na wewe.
MS anajulikana kwa mambo yake sasa wewe ni yuoi kati ya wale watoto wa ****** ?
 
tatizo la wakaskazini huwa hamuuoni ukweli kama CCM KILIPIGIWA KAMPENI NA WATU WATATU TU AMBAO UNASEMA BMW-HUONI IKITOKEA KIKASIMAMA NA MAKADA WOTE KINAWEZA KUKUMAZIA MBALI ICHO CHAMA CHA WACHAGA NA WAARUSHA? THINK TWICE UNATUMIA NGUVU NYINGI KUANDIKA VITU AMBAVYO HAVIJAENDA SHULE KABISA,NA MTANGOJA MILELE

Wacha tungoje milele mkuu.
You telling someone to think twice, while you have just written Rubish. Chama gani hicho cha wachaga na watu wa Arusha?
Pitia vizuri majimbo CHADEMA iliyo vuna katika Uchaguzi mkuu 2010, Then tuangalie na ratio ya Wachagga.

Yaani wewe Ni sumu kali sana katika Taifa hili la Tanaznia, unagawa watu kikanda na kikabila ili nuendelee kuimaliza hii nchi na ccm yako.
Binafsi mimi siamini kama mtu aliyeona kona nne za Darasa anaweza support CCM after all the damage they have done to this Country.

you are the one to think twice Pal. just read again the thread and make up your mind like a leaned man.
Stop being selfish mkuu, Ufisadi ni Uchoyo na kutokua na hutuma kwa raia mwenzio.

Najua inakuuma sana kwa nguvu waliyonayo CHADEMA kwasasa, Itaingia madarakani na uovu wote utawekwa wazi
Jiandaeni, 2015 is still not far.
 
There are times when one is left to wonder whether some of these creatures that God created are worth their names. How can a person waste his precious time and resources for this hopeless thread? You surely are better than this!

Fools always asume and think they are more intelligent than others to the extent that they abuse other peoples' opinions and ideas. I hope poor and immature thinking of this category should be taken to the opportunist's tomb.
 
22. rais aliyewaingiza mjini TUCTA na mashirikisho mengine ya wafanyakazi mishahara imepanda kumbe lilikuwa changa la macho kupata mwaliko mei mosi

23: Rais wa kwanza duniani kwa kuwa msanii kwa ahadi zake!
24: Rais anayeshangaa utendaji mbovu wa mawaziri wake lakini hawachukulii hatua!
25: Amilijeshi mkuu anae ogopa mafisadi.
26: Wa kwanza duniani kuwapa watendaji wake semina elekezi kwenye mahotel makubwa lakini hakuna tija!
27: Ni Rais kwanza katika historia ya Tanzania ambaye hajatengeneza hata waziri mmoja mwenye utendaji uliotukuka kwa watanzania!
28: Ndiye wa kwanza nchini aliye kuwa na baraza kubwa la mawaziri lisilo kuwa na tija tangu uhuru!
29: Ndiye aliye toa ahadi nyingi kuliko marais waliomtangulia lakini bila kutekeleza ahadi zake, mfano, sema katika kipindi chake cha uongozi, Kigoma itakuwa kama Dubai na Mwanza kama Califonia ya Afrika bila utekelezaji.
30: Ni Rais wa kwanza Tanzania alipoingia madarakani alikuta hazina imefurika lakini ataondoka akiiacha bila chapaa!
 
MIKAELI Nimefurahi sana kwa home work well done! 100% BIG up. Sikupata shida wakati wa marking. Thanks
 
2 Rais ambaye alitoa msamaha kwa wezi wa mabilioni kwa muda na wezi wa kuku wako magerezani. Hii ni kinyume cha katiba ya nchi na sheria.


Kijana ktk hili (#2) Inaonyeshwa upotoshaji unaoulenga. Haya mambo kama unaelewa kitu kinaitwa ''plea bargain'' usingepotasha. Najua wewe ni propagandist wa CDM lakini hebu onyesha usomi wako kwa kufanya literature review. Kukusaidia google case za kina Michael Milken & Ivan Boesky waliotikisa financial mrkts za USA on insider trading crimes na kufisadi mamilion ya pesa na uone adhabu waliyopewa kulingana na makosa yao.
Acheni kutafuta umaarufu kwa bei rahisi. Someni msikurupuke. Wananchi watawastukia mtakuja kuwa kama TLP au NCCR
 
2 Rais ambaye alitoa msamaha kwa wezi wa mabilioni kwa muda na wezi wa kuku wako magerezani. Hii ni kinyume cha katiba ya nchi na sheria.


Kijana ktk hili (#2) Inaonyeshwa upotoshaji unaoulenga. Haya mambo kama unaelewa kitu kinaitwa ''plea bargain'' usingepotasha. Najua wewe ni propagandist wa CDM lakini hebu onyesha usomi wako kwa kufanya literature review. Kukusaidia google case za kina Michael Milken & Ivan Boesky waliotikisa financial mrkts za USA on insider trading crimes na kufisadi mamilion ya pesa na uone adhabu waliyopewa kulingana na makosa yao.
Acheni kutafuta umaarufu kwa bei rahisi. Someni msikurupuke. Wananchi watawastukia mtakuja kuwa kama TLP au NCCR

hacha kutumia maneno kwa kupindisha hoja iliyo wazi,
kwanza case za hao watu na ufisadi uliotendeka hapa tanzania ni vitu viwili tofauti waliotuibia hapa tanzania ni viongozi wa serikali walitumia signature na mamlaka yao kufanya hivyo, tena labda nirekebishe ili kueleweka vizuri wali chukua kama zao sio kutuibia maana kuiba kuna siri lakini hawa wakubwa walizoa tu bila aibu
hao jamaa uliotaja hapo juu walifungwa je hapa bongo kuna mtu alifungwa,
CASE ULIYOSEMA HIYO HAPO SINDHANI KAMA INAKUBEBA KUTETEA AKO KANENO "plea bargain" au unatishia watu ung'eng'e

>>>>>>>Michael Robert Milken (born July 4, 1946) is an American financier and philanthropist noted for his role in the development of the market for high-yield bonds (also called junk bonds) during the 1970s and 1980s, for his 1990 guilty plea to felony charges for violating US securities laws, and for his funding of medical research.
Milken was indicted on 98 counts of racketeering and securities fraud in 1989 as the result of an insider trading investigation. After a plea bargain, he pled guilty to six securities and reporting violations but was never convicted of racketeering or insider trading. Milken was sentenced to ten years in prison and permanently barred from the securities industry by the Securities and Exchange Commission. After the presiding judge reduced his sentence for cooperating with testimony against his former colleagues and good behavior, he was released after less than two years<<<<<<<<<<<<<<<



NAJUA MAFISADI WENGI MASHAMBULIZI YA KIKWETE ZIDI YA KUSAMEHE WEZI INAWAUMA LAKINI ILI SIO KOSA TU HAPA DUNIANI lakini pia ni kwa dini yake na yangu ni makosa so huko mbinguni ana dhambi ya kujibu
kusamehe wezi ni sana wa kuiba
 
31. Raisi aliyehudhuria mazishi nyingi kuliko wote waliomtangulia.
32. Raisi aliyekwenda kubembea Jamaica kwa fedha za walipa kodi.
33. Raisi mcheza kiduku.
34. Raisi aliyekwenda kuuza sura na Boyz II Men
35. Raisi mwenye visasi (Babu Seya,Prof. Mahalu...)
 
Back
Top Bottom