Rejeta ya ac suzuki escudo nomade inatafutwa

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Habari wakuu habari ya asubuhi hii, kumekucha salama kabisa,
Natafuta rejeta ya AC suzuki escudo Nomade kwani nimepeleka kwa fundi amesema imetoboka sasa inahitajika ingine mwenye nayo au anajua sehemu inapouzwa kwa gharama yoyote nitampa kwani kwa sasa napata taabu sana gari haina AC.(Kumuka nimekwambia Rejeta kwa sababu mimi siijui ila inakaa mbele ya gari kabisa imefanana na rejeta hii ya maji please send me information. )
 
Nenda mtaa wa Lindi karibu na MACHINGA COMPLEX hutakosa,kule ndio nyumbani kwa used spare part za magari ya kijapani!!!
 
Back
Top Bottom