Rejea kutoka: Natafuta Mke tarehe 20-3-2012

Jan 2, 2011
12
2
Mimi Hassan Said nasikitika kuwa ule ujumbe nilioutoa tarehe 20 mwezi 3 mwaka 2012 kuhusiana na kutafuta mke kupitia jf , nasitisha rasmi zoezi hilo leo tarehe 30 mwezi 3 mwaka 2012 kutokana na walengwa wengi niliowasiliana nao kukosa umakini(seriousness) katika suala hilo.Asanteni sana
 
Hivi? Mnakuwaga serious kweli? Uwa siamini kabisa njia hii!! Btw am scared of blind date
 
We sio mswahili eeh? Maana waswahili huamini "muomba mungu hachoki, akichoka amepata''
 
Pole sana ndugu yangu...humu sidhani kama ni mahali muafaka. Kwenye jukwaa hili watu wanakuwa na masikhara sana so tafuta tu ustaaarabu mwingine aise....kafanye tongozo kitaa ndo zinalipa humu ht mtu humjui bana
 
Back
Top Bottom