Rejao Uko wapi?

Karibu Arumeru ... Special for Mr & Mrs Rejao kwenye part ya kuzika gamba.. nimeweka booking ya viti viwili pleeeease mcniangushe

Daktari kashauri nitulie nyumban na kuepukam mavumbi na makelele yanayohusiana na mambo ya sihasa yataleta madhara kwa mtoto,mme wangu rejao kashauri tukapumzike zanzibar kwa mwezi japo 1,we are sorry hatutaweza kuhudhuria kwa kufata ushauri wa daktari kwa kulinda afya ya mwenetu!
 
Erick mbona jana ukapoteza kura yangu wakati nilikupa ukahakikishe ushindi
Rejao and the rest wako kwenye mfungo kufunga na kukesha kuiombea CCm yao irudishiwe upendo ulioanza kupotea
 
Haaa Rocky jana hukuwepo wakati natangazwa mshindi?
Lol muulize Badili Tabia...waliandamana kupinga matokeo ila wameshauriwa waaige mfano wa CCM Arumeru wa kukubali matokeo bila tatizo....
Rejao anafunga kumbe....Dah safi sana
 
Hahahaha!Alafu ww!!!
Canta angalia leo Rejao hayuko kwenye moody....ukimletea longolongo atakulimaje taraka....!
Hahahaaaa atasema kaolewe na Chadema na mtoto akizaliwa muite Arumeru Mashariki
Kwi kwi kwiiiii
 
Hahaha!hilo haliwezi tokea,hizo mud anakuaga nao kwenye jukwaa lao lile huku hm ni raha mustarehe!ww ndio ujiangalie maana tangu jana umemwacha Amy mwenyewe hm hujui Bagah leo kashinda kwa kwenu!
 
Weeeeee Canta usintake ubaya....
Ooooh halafu unakuwa km humjui Amy....mi kwa bibie sina pressure hata Bagah akiwa home coz Bagah amesoma akiwa kwangu hadi alipoanza kazi yake
 
Heee heee!ucjesema ckukwambia!ww hushangai cku zote ukiwa hm lzm naye awepo humu leo tangu jana umehamia USA R.Bagah humu haonekan!hahaha!
 
Hahahaaa mbona Amy yumo humu?
Na hapa niko nae...
We mchinganishi...unadhani kwa kuwa Rejao kapotea na hujui aliko na wangu atakuwa huko?
Wangu kajituliza meeen..!
 
Kalakabaho!!Rejao apoteee,hebu ngoja nikampe cha ucku mme wangu tulale zetu!
 
Back
Top Bottom