Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rejao, Ritz, Omr & FF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Feb 12, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,654
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  wakuu
  Hawa member wamepotea ghafla hapa jamvini kulikon?inawezekana ni Id za mtu mmoja?'umegundua hilo?je hawa watu wanaweza kuwa na uhusiano fulani??au je ni kweli ni wafanyakazi wa Nape kama ilivyodaiwa hapa jamvini??labda wamechoka na kibarua ambacho hawapendi ila wanasukumwa na nguvu ya pesa??mimi nawafatilia sana japo sio kila wakati''inawezekana vipi wapotee kwa pamoja??
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,718
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Majungu sio mtaji.
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,654
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Hakuna majungu hapo bana''hii inanigusa kwa kweli
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,144
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ff alipigwa ban akaja na Id ya JF-BAN1 zikaunganishwa kwenye ban, Rejao ye yupo anazurura kule chit chat, ritz nae yupo ila omr amepotea kitambo sana!
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,097
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Jukwaa limekuwa la moto hawakanyagi tena
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,718
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  majungu kwa shem wangu rejao na kaka ritz. Acha hizo.
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,654
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  ebu ongezea na malaria sugu kwenye hiyo list
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,798
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  walikua kwenye kikao cha ccm ambacho kimeisha ila wanahangaika na mafao yao ya utetezi
   
 9. M

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 17,249
  Likes Received: 5,581
  Trophy Points: 280
  hahaha
  kumbe rejao mzururaji sio.chitchat c kule mtu
  ukiwa na hangover unamalizia??
   
 10. M

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 17,249
  Likes Received: 5,581
  Trophy Points: 280
  i dont think km huyu husn ni he!!
   
 11. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Yule aliyekuwa akijiita Kishongo yuko wapi?
   
 12. L

  Luluka JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha kuwapaisha!
   
 13. K

  Kolero JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 490
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watarudi baada ya uchaguzi wa kule Visiwani, wanachapa kazi kwanza.
   
 14. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 7,596
  Likes Received: 1,547
  Trophy Points: 280
  Ngoja uchaguzi wa Arumeru ukaribie utawaona humu kwa kasi zote. Unajua CCM huwa wanawatumia hawa kwa propaganda but recently hakuna ishu yoyote ya maana kuwalipa hawa jamaa ndo Nape akaamua kuwapotezea. Najua huku waliko wanatamani sana CDM waitishe maandamano ya Nguvu ya Umma ili warudishwe kwenye payroll.
  Rejao yeye kaamua kuitumikia tamaa yake ya warembo kaamua kushinda nao kule chit chat anachat nao na kuwa PM bila ujira wowote.
   
 15. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 718
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unachokoza nyuki weye..!!!
  Wasubiri watakuja sasa hivi.
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,059
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  ungewa-pm
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,718
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  mmmh! Ya kongosho yanahamia kwangu! Lol. Mi sio he hata hivyo.
   
 18. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda wako kwenye kampeni za jimbo la uzini.
   
 19. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,974
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  lol hata dini yao hawaijui.
   
 20. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mtaipenda tu CCM
  OTIS
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...