REINFRED MASAKO kugombea Ulanga Magharibi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kwa wanaoangalia ITV naona breaking nyuzi Mtangazaji Reinfred Masako akijielezea atakachofanya wakati wana CCM watakapompa ubunge wa ulanga magharibi.

================

Kwa niaba ya waandishi wenzako nakutakia kila la kheri mzee.

Mtangulize sana Mungu kwe nye uchaguzi wengi wanateseka sana wakati wa uchaguzi siitaji kukutisha lakini mwamini Mungu atakutetea ukikimbizana na yale mambo yetuu ya Bagamoyo
soon tutakusahau Mbunge wetu mtarajiwa

UBUNGE BILA UCHAWI INAWEZEKANA toa mfano uitaji kulala uchi masaa 72 kwenye vibana vya udongo upate ubunge

Godbless u
 
Is this breaking News???????????????????????????????????? yo must be kidding, anagombea ubunge so what??
 
Abdulhalim

JF Senior Expert Member
no comments
 
huummm! haya, sisi tupo, yetu macho. namtakia kila la heri, pamoja na kwamba chama chicho alichoenda, atafanya anachotumwa na chama na si anachotumwa na wananchi. so, kama atapata huo ubungu huko kwenye watu wenye damu na mashati ya kijani, atakuwa ameenda kutafuta neema na pesa tu, ila si kuhudumia wananchi. tunatakiwa kufika kipindi tuchoke na ccm, inatumaliza wajemeni.
 
Nafikiri anatania kutokana na sababu alizotoa; mojawapo ni kusimamia kilimo ambacho wananchi wa Ulanga Magharibi watalima mara moja tu na kuvuna kila mwaka bila kulima tena bila kusema ni mazao gani hayo. Sasa sijui anajua mazao yanayostawi ulanga. Ukiangalia kwenye Socio - Economic profile ya Mkoa wa Morogoro ya mwaka 2002 pp. 49 na 54 mazao yanayolimwa sana Ulanga ni pamba, sunflower, simsim, karanga, 'pigeon peas', mahindi, mpunga, mhogo, mtama, ndizi, viazi vitamu, na maharage. Sasa kati ya haya ina maana atashughulikia yale ya muda mrefu tu. Au atayabadilisha yale ya msimu mmoja kwa mwaka ambayo ni mengi kuwa ya muda mrefu! Atayabadilishaje, hakusema. Anandandia Kilimo Kwanza bila kuelewa!

Pia sielewi alivyosema kuwa atatumia uzowefu wake wa kufanya kazi chakula na lishe, usalama wa raia, NSSF na ITV katika kuimarisha kilimo. Huyu akiwa mbunge ni sawa na kubalisha spea kwenye engine ya gari kwa kuweka used, tena spea yenyewe ni sensor muhimu sana!!
 
Sasa nimeamini huyu jamaa analeta usanii si aseme tu kama ametumwa! mwanasiasa makini huwezi kuongelea vitu so unrealistic like these!
 
Nilimwona Musiba yule wa C10 akijaribu kufanya kitu kama hicho kule Bunda kwa Mzee Wassira. Wanahabari wanajua siku hizi uwekezaji mzuri ni kwenye siasa. Wametumika muda mrefu sasa wameamua kuingia wenyewe ingawa mimi ningewahimiza WANASHERIA wengi wagombee kwa kuwa kazi mama ya BUNGE ni kutunga sheria. Kazi ambayo kwa miaka hii tuliyonayo tumeshuhudia miswada mingi mibovu ikipelekwa Bungeni na kuleta utata mwingi hata baada ya kusainiwa kwa mbwembwe na Rais wetu.
 
kwani kuna dhambi kugombe huo ubunge, mbona hao waliopo walitoa ahadi realistic lakin hazijatekelezwa mpaka dakika hii, mi sioni ubaya yeye kujitokeza acheni watu wa hilo jimbo watoe uamuzi kama atapitishwa kugombea, pengine mnaweza kuona hana points za mezani lakini kichwani mwake ana points za kufanya kazi, ubunge sio kazi ya kutishwa kwani tumeshuhudia wengi wanachukua nafasi kisha wakifika bungeni wanalal mwanzo mwisho, muacheni na yeye, wewe na yule akitaka naye ajitokeze kugombea,Bongo tambarale bwana.
 
Jambo ninalojua ni kuwa huyu mzee si mwanamapinduzi, ndani ya ccm hakuna jipya litakalotoka, kwa sasa wana mapinduzi wanaelekea chama mbadala hata kama hiyo itakuchukua muda mrefu kuupata huo ubunge.
 
this is very disgusting, kwa nini wazpuuzi wachache wanadhani kua baada ya kujulikana kwa namna yoyote ile basi next hatua ni kua mbunge! miaka yote iyo alikua wapi? au ndio njaa za watu maarufu basi zawadi pekee kwao ni kua mbunge! tena limekua jambo la kawaida mtu yoyote akiwa maarufu basi mtasikia nia yake ni kwenda kugombea ubunge!
 
anavyovuta maneeeeeeeeeeeeeeenooooooooooooooooooo atarudishanyuma spidi ya bungeeeeeeeeee kufanyakaziiiiiiiiiiiiiiii.. Renffred masako wa IIIIIIIIIIITV.
 
Alaaah! Kumbe ndio maana kwenye vipindi vya Kipimajoto amekuwa akijaribu sana kutetea Serikali na wakati mwingine alikuwa ana-bore kwa sababu hakutaka kuwaachia watu wajieleze wanavyotaka akiona mwelekeo ni wa kuikosoa Serikali alikuwa anaingilia kati. Shame on him kumbe anamendea ubunge! Kwa staili hizi, hatufiki wakuu.
 
Mkilala kidogo hii nchi itakuwa ya VIPUSA.
Bora uchaguzi usiwepo, kama wangombea ndio hao wa kina Masako, Musiba na Hawa wa viti maalumu Nakaya!!!!
Vipusa watupu.

Hawa wapiganaji wako wapi,
Papa Msofe, Mawamba, Tomaa wa Diama, Ndama, Madinda, Mtegeta, Mtawali, Kasanga, Gonzaga, Msauzi, Mdhamiru bill gate, Parakhash, Okea James wa Shirati, Mrema, Rockerfeller, Jisei Kashinde, Ntimizi ..
Kama mnavyopigana kuindeleza Tanzania kwa upande wenu pia mawazo yenu yanahitajika huku kwenye EPA, kwani wengi wenu ni wazalendo mnatawanya nchini, Kazi zenu zimesomeka, Japo bwana kafumu hajawafahamu vizuri, ipo siku atawakubali na mcahngo wenu.
Long live wazee, Nigeria imeendelezwa na watu ka nyinyi, tunawahitaji zaidi ya mlivyojidhira na wengi wenu kutokujali afya zenu kwa kufanya ufuska, you have a role to play.
Mwakemele RIP, George Hugo RIP.

Aluta Continual
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom