Rehema Mwakangale hayupo nasi

Nilikuwa naimind sauti yake ya puani na kila akisoma taarifa lazima nimuigize..nitammiss sana huyu dada katika taarifa za ITV.
 
nawapa watanzania wote pole bila kusahau familia ya mareheu Rehema Mwakangale, pamoja na kampuni ya IPP MEDIA. Mungu ailaze roho ya marehema pema Amen.
 
Rehema wakati wako wa kwenda kumtumikia Mungu pamoja na malaika umewadia so namuomba Mungu wangu na akupe pumziko la milele na mwanga wa amani akuangazie ustarehe kwa amani, kila nafsi itaonja mauti,Amen
 
Poleni woote mlioguswa na msiba huu, Rehema alikuwa na mvuto wa kipekee kiutangazaji. Mungu amlaze mahali pema peponi dada yetu.
 
Jamani tuseme R.I.P mara ngapi kwa mtu mmoja! huyu dada si takriban miaka minne sasa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom