registry cleaner

PingPong

JF-Expert Member
Dec 21, 2008
926
160
Wakuu nataka kutumia registry cleaner ili niweze kuspeed-up machine coz kuna mtu aliniambia kuwa hiyo njia inasaidia kuongeza speed ya computer, lakini kuna rafiki yangu mwingine anasema kama nikifanya hivyo kuna uwezekano mkubwa wa computer yangu kuwa recognized na microsoft company, so watafunga baadhi ya program ambazo computer yangu inazihitaji, sasa nipo kwenye dilemma waheshimiwa nitumie hiyo kitu au niache na kama nikitumia kuna madhara gani au kuna njia yoyote ya kuongeza speed kwa logic kwamba iwe inafunguka fasta hata nikiwa nafungua browser maana imekuwa slow mpaka inaboa..zamani haikuwa hivi ni baada ya kuitumia kwa muda na kuhusu scanning huwa nafanya mara kwa mara, so nina uhakika sio wadudu, msaada wandugu.
 
Sio mtaalam kwenye hili.

Ila natumia unregistered copy ya Win XP Pro SP3 na nina registry cleaner kwenye mashine yangu na sijaona hilo unalolitaja.

Hizi cleaners ni muhimu sana, kwa maoni yangu. Tafuta Rising PC Doctor, CCleaner au Glary Utilities.
 
Back
Top Bottom