Region’s eyes on Thika road expansion

Certified

Member
Dec 31, 2009
55
6
Uganda and Tanzania have been studying work of the Thika superhighway as they see it as a model for the region.

Experts from the two countries have been visiting the site to see how the road can be replicated in other East African states, according to the Kenya National Highways Authority.

The work is being handled by China Wu Yi, Sinohydro and Shengli Engineering Construction Group. Consultants overseeing the expansion of Thika Road said on Thursday the work was 12 months behind schedule.

Sitting on road reserves

Mr Hari Ramesh of Consulting Engineering Services, said the delay was mainly due to relocation of water, sewerage, electricity lines and underground communication cables.

“There’s a long way to go with the relocation of services but there is good progress. Most of the roads were two to four lanes and we are making them six to eight lanes, and a lot of these utilities were sitting on road reserves,” he said.

Mr Ramesh said traffic jams will not go away soon due to the nature and size of the project and the fact that the road is being used while parts of it are being constructed.

Roundabouts are to be replaced with underpasses and overpasses and interchanges, with separate bicycle and pedestrian lanes on specific parts.

Mr Ramesh said 10 footbridges will be built at the Central Police Station, Ngara, Desai Road, Pangani, Muthaiga, General Service Unit headquarters at Ruaraka, the Safari Park Hotel, Kahawa Army Barracks, Kenyatta University and at Ruiru.

Engineers from the Kenya National Highways Authority said the most complex work will be at Museum Hill, Pangani and the Eastern Bypass junction near Ruiru town.

At Pangani, there will be an underpass for vehicles heading to Forest Road and an overpass for those heading towards Kariorkor from Forest Road.

Mr Kennedy Nyakuti, the design engineer at the project’s secretariat at Muthaiga, described the Pangani interchange as “the perfect engineer’s nightmare.”

Daily Nation:*- News*|Region
 
[/URL]

Hii sio kweli, moja kati ya ahadi kadhaa za kiongozi wetu mkuu ni kujenga flyovers katika jiji la dar es salaam ili kupunguza foleni. Hii habari ya Thika Highway imetoka wapi????

Nani aliwatuma hawa viongozi kwenda kuangalia hiyo barabara, serikali iunde tume kuwachunguza hao viongozi walioenda kushangaa barabara wakati mipango yetu ni flyovers
 
Viva Africa.
Some pics here:

THIKAROAD0.jpg PIX4.jpg THIKAROAD1.jpg
pencil.png

source: Daily Nation: - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos - Business
 
Hii sio kweli, moja kati ya ahadi kadhaa za kiongozi wetu mkuu ni kujenga flyovers katika jiji la dar es salaam ili kupunguza foleni. Hii habari ya Thika Highway imetoka wapi????

Nani aliwatuma hawa viongozi kwenda kuangalia hiyo barabara, serikali iunde tume kuwachunguza hao viongozi walioenda kushangaa barabara wakati mipango yetu ni flyovers

It may be true because Thika road will include flyovers, underpasses, overpasses and interchanges.
 
The only problem is, cars will increase with time and congestion will once again abound....:confused2:

Regarding metropolitan traffic jam, the Chinese have come up with the most modern way of escaping the flyovers in the transportation industry. They are now designing a prototype of building super buses that flyover existing routes to allow normal traffic flow underneath. The model could also be used for our roads, such as the one proposed in Kenya or in other respective East African (to be) countries.

For info: The Chinese Bus That Allows Traffic To Pass Underneath
 
Serikali yetu nayo imejitahidi:confused2:. Kwa miaka 5 tu wameziba yale mashimo yote Mandela Rd.
 
Hee! funny!! Kama hii sentensi umeiandika ukiwa serious, basi lazima wewe ni uzao wa mafisadi. Maana hela ya kuziba mashimo ya mandela road ni makusanyo ya kodi ya siku moja na si mwezi. Lakini kwa serikali yetu ya kifisadi utaambiwa yale mashimo yamezibwa kwa msaada wa serikali ya Japani kwa kuwa serikali yetu haina uwezo. Hivi juzi niliona sijui waziri mkuu wa nchi gani ile kampa kikwete msaada wa Tshirt ya Ronaldo. Its just funny! Hata hiyo Kikwete hana uwezo wa kununua.

Lakini lililo kubwa ni kwamba wenzetu Kenya waligundua siku nyingi kuchagua upinzani. Unafikiri serikali ya Kenya ingekuwa bado inaongozwa na KANU wangeweza kufanya haya? Kuna kila sababu ya sisi kubadilika pia!!
 
Mkuu ukisoma sentensi yake kwa makini utajua kuwa anachosema ni kuwa kazi ya wiki moja imefanywa kwa miaka mitano. Na vilevile wenye akili wanajua kuwa flyovers si indicator ya maendeleo ni kurubuni wajinga.

Dar inaweza kuwa na usafiri mzuri bila flyovers kama mipango ikiwa mizuri. Magari Dar hayafiki hata laki 5, ukiangalia kimsingi utaona kuwa muhimu ni kufanya barabara zipitike, sio kutumia barabara chache. Ikiwezekana na ku relocate ofisi nyingi kutoka Posta. Tunaweza kujenga flyovers na tatizo lisiondoke.

by the way Madnela road is worse than it was 20 years ago. enzi hizo ilipokuwa inaitwa Port access ilikuwa ndio barabara, taa barabara nzima trafick lights zilikuwa nzuri. sasa ovyo tu.
 
Jamani superhighways hizi hazitasaidia (ila kwa muda kidogo - labda!) maana idadi ya magari inaongezeka karibuni. Barabara pana zinaongoza magari kwenye sehemu pasipo na nafasi - kumbe unafika haraka zaidi kwenye foleni ya magari ndefu zaidi.

Miji mikubwa ya aina hii inahitaji usafiri wa umma: treni za mjini (juu na chini ya ardhi), njia za mabasi zisizotumiwa na magari mengine, ada kali wa magari yanayolenga kuingia ndani ya miji (ama kwa bei kali za parking au kwa vibali vya pekee vinavyouzwa).

Njia ya upanusha barabara imejaribiwa mahali pengi - bila kipaumbele kwa usafiri wa umma ni bure.
 
all those aid in easing conjestion, there are plans to introduce light rail and BRT, its not like they are expanding the roads and thats it!!!
 
Mkuu ukisoma sentensi yake kwa makini utajua kuwa anachosema ni kuwa kazi ya wiki moja imefanywa kwa miaka mitano. Na vilevile wenye akili wanajua kuwa flyovers si indicator ya maendeleo ni kurubuni wajinga.

Dar inaweza kuwa na usafiri mzuri bila flyovers kama mipango ikiwa mizuri. Magari Dar hayafiki hata laki 5, ukiangalia kimsingi utaona kuwa muhimu ni kufanya barabara zipitike, sio kutumia barabara chache. Ikiwezekana na ku relocate ofisi nyingi kutoka Posta. Tunaweza kujenga flyovers na tatizo lisiondoke.

by the way Madnela road is worse than it was 20 years ago. enzi hizo ilipokuwa inaitwa Port access ilikuwa ndio barabara, taa barabara nzima trafick lights zilikuwa nzuri. sasa ovyo tu.

Nakubaliana na wewe... tatizo sio barabara ni mpango mzima wa mji... tunahitaji kuangalia mpango wa mji upya na kutafuta njia ya kudumu ya kupunguza tatizo hili sio short term solutions
 
all those aid in easing conjestion, there are plans to introduce light rail and BRT, its not like they are expanding the roads and thats it!!!
Mipango ya reli? Kumbe! Lakini mipango haisafirishi mtu 1. Imeshatokea katika miji mingi. Kwa kawaida hakuna pesa kwa mipango yote. Kwa hiyo azimio linafuata akili za watu wanaoweka pesa zao katika magari mazito (=wenye pesa na sauti katika siasa) wanaotaka kutumia vyombo vyao vinavyong'aa - wasio na hamu kubanana katika treni na watu wanaonuka vibaya. Afadhali wakisimama kwenye foleni ndani ya gari lao ......

Si ajabu ya kwamba kati ya mipango barabara imechaguliwa. Historia ileile katika miji mingi duniani,
 
At least wanajaribu kupunguza matatizo kuliko mafisadi wa Dar ambao hawana idea nini cha kufanya,kwa kweli ile foleni ya Dar sijui watu wanaishi vipi?hivi mayors,ministers etc wanapita njia gani na wanamiss vipi zile kero mpaka wanashindwa kufanya chochote,inasikitisha sana jinsi wananchi wanavyoshindwa kuwawajibisha viongozi wazembe kama wa jiji..ile sio normal there must be something very wrong kwa wananchi wanaochagua CCM.
 
by the way Madnela road is worse than it was 20 years ago. enzi hizo ilipokuwa inaitwa Port access ilikuwa ndio barabara, taa barabara nzima trafick lights zilikuwa nzuri. sasa ovyo tu.
mhhh:confused2:
 
At least wanajaribu kupunguza matatizo kuliko mafisadi wa Dar ambao hawana idea nini cha kufanya,kwa kweli ile foleni ya Dar sijui watu wanaishi vipi?hivi mayors,ministers etc wanapita njia gani na wanamiss vipi zile kero mpaka wanashindwa kufanya chochote,inasikitisha sana jinsi wananchi wanavyoshindwa kuwawajibisha viongozi wazembe kama wa jiji..ile sio normal there must be something very wrong kwa wananchi wanaochagua CCM.

hahahahaaaa nimeipenda hii. nafikiri wanachama wa sisi-m wanahitaji kupimwa akili.
 
http://in2eastafrica.net/regions-eyes-on-thika-road-expansion/print/

Thika-superhighway-300x227.jpg

Back
Top Bottom