Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,819
- 8,884
Moshi mtu yeyote ambaye haoni kitu unachojaribu kuhoji nadhani ni apologist. You rise a legit question. Maendeleo yanaletwa na sisi wenyewe. Huwezi tegemea serikali ianzishe Mtwara au Msoma daily..ni wananchi wenye uchungu na sehemu zao watakaofanya kitu kama hicho. So is Mtwara, akina Rufiji waliokuwa offended na kauli ya mwalimu Moshi ndo inabidi wafanye something in this direction. Na ukweli unabaki pale pale..bila kuwa na vyanzo vya habari vinavyo reflect mtazamo wa wananchi..Msoma, Kigoma au Mtwara zitabakia hivyo hivo..steriotype hazitaisha.
Kitila, nadhani mwalimu Moshi alikusudia UDSM dailies...kama gazeti la kila siku au linalotoka mara mbili au tatu kwa wiki. Hili lingekuwa exclusively run na wanafunzi wa UD especially wale wa kitivo cha habari. Na habari zinazoandikwa zinakuwa zinatafutwa na wanafunzi wenyewe kwenye kazi zao za kila siku..yaani, ukweli ni kwamba UD is my alma mater, lakini creativity ni zero! Na hili likisimimamiwa na wahariri makini linaweza kuwa gazeti makini sana na likamudu kujiendesha. Wewe umesoma ulaya unajua kabisa wenzetu wana magazeti ya kila siku...na reporters ni wanafunzi... Ila as far as I know mpaka leo UDSM wanafunzi wanasoma magazeti pale utawala kwenye ubao wa matangazo au library..(nakala chache za kugombania).Its a shame.