Reginald Mengi sikia hilli, sio kwamba tunakufundisha kazi

Status
Not open for further replies.
Hata mimi naungana na watanzania wenzangu kwakitendo alichokifanya huyu dada Bokhe natumaini anakijutia tena sana mno! .

Ninyi hamumjui huyu dada, yeye kuliwa uroda kwake ni poa tu kama kufungua mlango au kuzima na kuwasha taa
 
si ajabu Reginald Mengi hamfahamu bhoke ye anaongea na directors wake tu Bhoke mtu mdogo sana EATV
 
ustarabu ni kitu cha kujivunia,hizo ngono za hadharani unazozitetea NCHABIRONDA mbona sikuelewi! ujasiri huo unautowa wapi kwa utamaduni wa mtanzani? au unataka kusema ndo maporomoko ya heshima ndani ya jamii ya watanzani? ,
 
Wanaokiendesha kipindi wanajua kuwa hayo yanaweza kutokea na ndiyo maana BBA ni R18. Hivyo fanyeni control ili kuzuia wadogo zenu wasiangalie BBA. Hiyo ndiyo njia pekee ya kuwapa maadili. Japo Bhoke ametoka, hawa wanaoitwa "wadogo zetu" wakiendelean kukiangalia kipindi hicho watajifunza mambo yanayofanyika humo. Siyo lazima yafanywe na Bhoke, hata yakifanywa na Nic, Kim na wengine, maudhui ni yaleyale-- "NGONO".
 
Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.


Great thinker(sinker?) nilivyoelewa mimi ni kwamba mtoa hoja analaani kufanya hicho unachoita kuzini hadhrani na si tu kuzini sasa nadhani ungeuliza katika muktadha huo(kuzini hadharani/ukionekana kwenye TV) upo?
 
Mugo"The Great";2114341 said:
Wanaokiendesha kipindi wanajua kuwa hayo yanaweza kutokea na ndiyo maana BBA ni R18. Hivyo fanyeni control ili kuzuia wadogo zenu wasiangalie BBA. Hiyo ndiyo njia pekee ya kuwapa maadili. Japo Bhoke ametoka, hawa wanaoitwa "wadogo zetu" wakiendelean kukiangalia kipindi hicho watajifunza mambo yanayofanyika humo. Siyo lazima yafanywe na Bhoke, hata yakifanywa na Nic, Kim na wengine, maudhui ni yaleyale-- "NGONO".


Siku zote nimekuwa nikijiuliza maudhui ya hii kitu hata wafuatiliaji hakuna aliyeweza kunijibu asante mkuu kunijuza.Naangalia buton nikugongee thanks
 
Nyie waTZ mnapenda misifaaaaa!! Yani mnataka Bhoke awaombe radhi!!! Kwani nyie mmekuwa Mungu? Nyie mmekalia kupiga makelele. Mtashangaa siku ya kiama nyie mnaopiga kelele mtaachwa lakini Bhoke huyooooo. Muda huu mnaopiga kelele huenda mwenzetu alishatubu kwa Mwenyezi Mungu na tayari alishasamehewa.
 
Wangapi wamewahi kuliwa uroda kwenye vichaka. Sema hamkuonekana. Mwache Bhoke Wa watu. Kabila lake ni la watu jasiri Wa kuthubu.
 
kafanya kitu kibaya uroda si issue issue ni kuliwa adharanailet picha nzur ikiwa yeye ana inflluence kubwa kwa awa watoto wanaochipukiaamweke depatment ambayo HATAONEKANA luningani....japo kdg angeonyesha kukerwa lakin yey ahh anaona yap wat i did is gud n ok...usista duu mwngne wa kipumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ..kujifanya wamjin,wauzungun kumbe mjinga wa mwsho
.Mengi hawezi kumwajibisha kwa hilo kwa sababu inasemekana jamaa ni freemason, ambao ni makuhani stadi katika kuhakikisha wanamwondoa Mungu mioyoni mwa jamii, hasa kizazi hiki kinachojiita kipya..
 
BigBrother is a genuine show, now we know how Bhoke is... nyws! women are at disadvantage with da show just sad! i hope they learn from this.
 
Bhoke amejidhalilisha kwa kweli...ina maana alishindwa kujizuia hizo ny*ge.
 
Mh hata kama tamaduni zinaruhusu..but bhoke kachemka mbaya...afu kutiwa kwake ni kama tumepewa boloo watizd..si unajua mfumo dume mwanaume ruhusa but mwanamke nouma
 
napingana na wewe kwa 100%. Kumbuka mwandishi ni kioo cha jamii! Hata wewe mwenyewe fikiria, unatune tv yako inatokea -mage ya bhoke, utakuwa na fikra gan? Anaweza akatoa ushauri wowote ukamsikiliza?
huwezi,ukizingatia kile kipindi huwa kinajadili mambo ya msingi sana. Kwakweli i used to rank bhoke kwenye rank ya juu sana but for this oops no,nimemshusha thamani sanaa. Anyway mungu ampe ujasiri wa kujitambua...
 
Kweli huo ni wivu,kwani kuliwa uroda kitu cha ajabu,embu thibitisha kama dunia nzima wamemuona,mbona mi sijamuona anavyoliwa uroda?tena huyo ndio muwazi kuliko nyie mnaoliwa vichochoroni,hiyo ni human nature haizuiliki,mbona wengine usiku kucha mnajificha kuangalia movie za uroda,si bora huyu alieamua kuuonyesha umma tena bila kificho kama ni kweli kafanya hivyo.Kingine,unamuambia Mengi ili afanyeje,kwani yeye ni meneja muajiri wa EATV,alaf huyo Bhoke akishakosa kazi utapata faida gani?Acha wivu wewe!!!
we mzima kweli?
 
Acheni unafik. Kitu kigeni kipi alichokifanya huyu dada ambacho hatukioni katika maeneo yetu tunayoishi na katika burudani zetu? Kama mnamtegemea huyu binti awasaidie kulea watoto wenu, basi mna kazi. Maadili mema yatafunzwa na nyie na si mtu aliyekuwa kwenye luninga. Watu wa kumhukumu Bhoke ni hao walio karibu nae na sio sisi.

Amandla.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom