Reginald Mengi sikia hilli, sio kwamba tunakufundisha kazi

Status
Not open for further replies.
alieileta hii thread ana lake jambo si bure! Wivu tu nyo! Mwandish kioo cha jamii, sawa wangapi wamefanya madudu? Kwenda zako
 
Jamani ee,
kama kuliwa ndo kashaliwa, nyinyi hamli/hamliwi huo uroda? kwanza mliona ''ikiingia''?
wangapi waliopita hapo BBA wamekula ama kuliwa na watu walibaki kimya? Richard, Mwisho, Gae-5 hawakula uroda?
au kwakua hawakutolewa mapema?
Au kwakua ni wanaume?
Hata ningekua mimi, kama nimejiskia na tumekubaliana poa tu, mambo mengine kama walivaa au hawakuvaa that is another issue.
 
Kweli huo ni wivu,kwani kuliwa uroda kitu cha ajabu,embu thibitisha kama dunia nzima wamemuona,mbona mi sijamuona anavyoliwa uroda?tena huyo ndio muwazi kuliko nyie mnaoliwa vichochoroni,hiyo ni human nature haizuiliki,mbona wengine usiku kucha mnajificha kuangalia movie za uroda,si bora huyu alieamua kuuonyesha umma tena bila kificho kama ni kweli kafanya hivyo.Kingine,unamuambia Mengi ili afanyeje,kwani yeye ni meneja muajiri wa EATV,alaf huyo Bhoke akishakosa kazi utapata faida gani?Acha wivu wewe!!!
hivi angekuwa dada yako ndiye aliyejilisha uroda hadharani tena na mwanaume wa kukutana naye siku tatu tu UNGEMPONGEZA?
kivipi unasema BHOKE akose kazi??zipo kazi zinazomfaa na atapata kwingine ila sio kwenye Tv hasa Eatv inayo watchiwa na wadogo zetu.
JUZI kwenye daladala nilikuwa nafwatilia maongezi ya wanafunzi wa sekondari na walikuwa wakitetea haki ya kufanya mapenzi kwa kigezo mbona Bhoke kafanya hadharani kapungukiwa nini??
Acha uzungu wa kijinga.
 
naona wengi tumegeuka kuwa wale mafarisayo ambao Yesu aliwaita wanafiki
walipotaka kummua yule mama akiekamatwa akizini. Kweli asie na dhambi awe
wa kwanza kumtupia jiwe Bhoke......nani???,Alilofanya Bhoke si la ajabu sana,
Richard kama mwamkumbuka alifanya vile vile hiyo haikumzuia kuibuka mshindi wa BBA.
Sii kweli kuwa dunia nzima ilikuwa inamwangalia, DSTV ni kwa africa tu,ulaya kuna CANAL DIGITAL
na haina hata channel moja kutoka africa. Huku nao wana show yao PARADISE HOTEL
ngono zinaliwa live,wazi,bila kificho sembuse Bhoke kajifunika na shuka....nashauri suala la mapenzi
liwe linafundishwa mashuleni ili watoto waelewe wazi nn umuhimu na madhara yake
kuliko kuwaficha ficha matokeao yake wanabeba mimba au kupata ukimwi. Bhoke ni kama kina dada wengine tumwache bora yeye kuliko sisi wenye tabia ya Kifarisayo.
 
Bhoke, Bhoke, Bhoke... Sawa tumeona, kajifunika shuka kaliwa uroda, mwenyewe kathibitisha na wala hajutii, mimi na wewe 2naweza kustand mbele ya kadamnasi na kukiri tumefanya ngono?
Let the girl alone. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa BBA na kama uliangalia BBA 2 ambayo Mtanzania Richard alishinda, huyu alimharass sexually mshiriki toka Nigeria under the influence of alcohol, mbona hamkumkemea hivi? Au kwa 7bu alirudi na fedha?
Wote 2liofuatilia BBA1 tunakumbuka jinsi Gaetano na Abby walivyokuwa wakifanya mapenzi hadharani, kwasababu tu waandaaji wa BBA hawakutengeneza video clips kwa sababu Mu-Africa Kusini mwenzao alihusika? Na huyu Abby aliajiriwa na EATV kama mtangazaji, mbona mtoa hoja hukupinga au kumshauri mzee Mengi haya unayomshauri sasa?
Enough is Enough.
 
Alikera sana huyu dada kwa mambo aliyofanya, lakini naona tumpe pumzi huenda atajirekebisha.
........ingawa ni kweli ataharibu heshima ya EATV na kile kipindi inabidi awekwe kitengo kingine.
All in all tumuache dada wa watu atulie jamani!!

Hatua za kinidhamu zichukuliwe moja lapo ni kumfukuza kazi EATV naamini uongozi inalifanyia kazi hili.

Pili liwe fundisho kwa wadada zetu wengine sio kushobokea shobokea mambo.

Tatu aende kutafuta ajira ya kuact picha za ngono anaweza jiongezea kipato maana amekuwa star
 
Wewe uliyetoa mada hii mbona juzi mkeo kakufumania live unafanya ngono na kibinti kinacholingana na wadogo zako? lakini mbona mkeo aliamua kukusamehe? Mi naona ulikuwa una mpango wa kumnyemelea na Bhoke ndo maana unamchonganisha kwa bosi wake ili afukuzwe kazi.
 
Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.
Hoja hapa si nani hajawahi kufanya kitendo cha kuzini,bali tunajaribu kuangalia position aliyonayo Bhoke kama mmoja wa kioo katika jamii na kufanya mapenzi hadharani.Kumbuka watu wana-ngonoka sana tu hata kwa dakika hii yawezekana kabisa kuna watu wanachangia hapa lakini wametoka kufanya zinaa,issue hapa ni mtu kujiweka hadharani.yaani haileti picha kabisa,hapo huwezijitofautisha na ng'ombe au mnyama yeyote yule.This is not emulating a good picture for Tanzania and their people outside, despite the fact that the laid is bragging not to re grate for her action.
 
Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.
..mbona hueleweki mkuu, mara unaunga mkono ghafla tena unapinga, simamia point moja ueleweke.
 
Hebu kwanza tujifunze kwa wenzetu nini maana ya maadili. Huyu Mbunge wa Marekani hakufanya bali alituma tu picha ya sehemu zake nyeti kwa mwanamke kwenye facebook lkn wakamwambia ajiuzulu. Je Bhoke aliyefanya si anatakiwa awajibike/wajibishwe zaidi?
 
Last edited by a moderator:
hao wadogo zako wataharibika kwa tabia zao binafsi wala haihusiani na wat bhoke dd,its her life let her enjoy every bit of it
 
Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.

Pumba pumba tu. Hata hamueleweki. Huyu naye anatetea dhambi. Kweli watanganyika maadili yametushinda. Wewe umeshawahi kufanya hicho kitendo hadharani???? Hata mifano unayotoa na jambo lenyewe havina mahusiano. Wizi na ufuska vyote ni dhambi lakini issue hapa sio kama unavyoizungumzia. Pole sana
 
Bhoke,Bhoke,,Bhoke
si maadili ya Kitanzania
Amelidhalilisha sana Taifa

Ikiwa Bhoke atarudi/ataendelea na kibarua chake pale EATv itaongeza kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa wabinti hasa wa sekondari ambao ni wapenzi sana wa hiki kipindi.

Hivi utaliwaje uroda dunia nzima ukikutazama???????
Tena na mwanaume uliyekutana nae kipindi kisichozidi hata wiki???

ONYO: MENGI REGINALD tunakuomba umwondoe binti huyu Bhoke aende popote atakapo ili kulinda hadhi ya Eatv au tuipotezee EATv

mtu ana aumuzi wa kumpa mwenzake kipande cha mwili wake atumie kwa muda ili mradi tu asikibebe, sasa yale yalikuwa makubaliano yao - we mwenzetu kinakuwasha kipi? pilipili shambani wewe midomo yawasha vipi msichana? polepole eee - au ulimpeleka kaka yako akapigwa down ndiyo maana una mihasira? lol

by the way Kwani kabeba? mbona bokhe yupo salama na anafanya kazi kama kawaida, kwani we hufanyi...
 
Kwa kwel alichokifanya naamini hata mwenyewe anajutia muhimu ni kwa waajiri wake kumbadilishia kitengo kwa muda ili apumzike maana hata mwenyewe sidhani kama anaweza kuendesha kipindi kile kwa ujasiri uleule. Haileti picha nzuri kwa mabinti binafsi nimekereka sana lakini inabaki kuwa ni maamuzi yake binafsi, atulie atuombe radhi watz
 
Hata mimi naungana na watanzania wenzangu kwakitendo alichokifanya huyu dada Bokhe natumaini anakijutia tena sana mno! lakini mimi kwaushauri wangu wakati ule anahojiwa na kujibu kua hajutii kitendo kile, natumaini angekua anajua alichokifanya mbele ya watazamani akiliwa mzigo! angejibu tu kua jamani watanzania wenzangu pombe si chai! nilikunywa nanikajikuta nafanya au nafanyiwa kile kitendo kile natumaini ingeleta ahueni kwa wapenzi wote waliokua wanampigia kura na wasikilizaji wa kipindi chake pale EAST AFRICA CHANNEL.
 
Angeomba msamaha kwa watanzania ama kuonesha kujutia kile alichokifanya tungemsamehe......

Lakini kwa kukiri kwake kwamba hajutii kitendo kile na kwamba alikifanya kwa makusudi nachelea kusema kwamba EATV/ITV si mahala kwake,yeye anapaswa kuwa porn star basi(sory kama nimemkwaza mtu hapa),maana hana mshipa wa aibu,ni bora acheze filmu za ngono aziuze apate pesa kama alivyowez kujianika Channel 198 ya Mnet kwa ajili ya mifweza ya Bigi buraza......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom