Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Nawashukuru wote kwa comments zenu.Nimezipokea kwa mikono miwili.
Ila kwa bahati mbaya comments zote ziko upande wa positive tu,nahitaji pia na zile nyingine ili niumbike upya.I like both positive and negative criticism ili wakati mwingine nijue na mapungufu yangu.Naona wanaonifahamu wamefagia tu. Tunajengana.
Aluta Continua
Kama utakuwa unakubali criticism na kuboresha pale kwenye mapungufu, utakuwa ni mwanasiasa na kiongozi bora, usiingie katika siasa za hisia na misifa kama wanawake wenzako walivyopotea.