Regia Mtema kuwakutanisha JK na Dr Slaa uso kwa uso leo

R.I.P ma lvly sister Regia stokusahau kwan hata kwny safar yako ya Mwisho Mahasimu waliokua hawaelewan, siku hiyo wamepeana mikono! Ulijenga upendo na mshikamano na si uadui wala chuki katkat mwa waTz, hata wale walokua wakikubeza na kukdharau, leo wamekuja kukuaga na kwa vinywa vyao wenyw wamekir kua ulikuwa shujaa na jasir na wameahd kuwa km wewe ingawaje sna iman hata kdg kwao km wataweza pitia vichaka ulivyoptia, sidhan hata.....! Kwa kher dada angu!
 
Wakuu,
Kwa kuwa jana Waziri mkuu Pinda alisema kuwa Rais atashirikiana na Chadema kumwaga Mpambanaji Regia Mtema huko ifakara na,
kwa kuwa Dr Slaa naye ameshakwenda Ifakara kwa ajili ya kazi hiyo.

Je, si ndio itakuwa siku ya kwanza kwa JK na Dr Slaa kukutana uso kwa uso? Au mmoja atamkwepa mwenzake?
Nini impact ya tukio hilo kwa JK /Dr Slaa (kama itatokea?)
Nawasilisha.
;,;,,;,,;,,,;,,,;,,; Uko nyuma na matukio ya kila siku ya nchi yako, hata huna Kumbukumbu .
 
Back
Top Bottom