Elections 2010 Regia Mtema aongoza kwa 1250, Fomu nyingine zimeota miguu!

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha sana, inakatisha tamaa na inaumiza. Kwanini watu walazimishe ushindi?
 
Vijana wapo wanalinda ushindi wao, wameapa kufanya mauaji pindi tu watakapochakachua
 
Kutoka Kilombero Mgombea wa CHADEMA Regia Mtema anaongoza kwa takribani kura 1250 na jitihada kubwa inatafuta kuweza kupata kura zitakazochakachua hizo. Fomu kutoka baadhi ya vituo zimeota mbawa na kama zile fomu kwenye mji mwingine ambazo ziligoma kuingia kwenye mashine hizi za Kilombero hata kuja hazitaki kuja.

Inaonekana kuna hali ya kukata tamaa na mwisho kama sehemu nyingine itabidi wakubali sauti ya watu isikike. Kama ushindi ungekuwa unakubalika mara moja jimbo la Kilombero lingekuwa ndio jimbo Pekee Morogoro kwenda upinzani..

Tusubiri.. labda hizi fomu zikipatikana zitakuja na idadi ya kuwatosha watani wa Chadema, CCM..

Shimbo, mwanajeshi anayefikiria kwa utashi mwepesi, alidai tukubali matokeo..yaaani hata huyu dada CCM wanataka kumuibia kura yake ili wabaki madarakani? hata huyu dada? hata huyu naye, hawaoni soo? hivi madaraka ni matamu kihivyo? Siamini ninachokisikia, ila wajue kuwa hata wao wana damu na nyama. hata huyu dada wanataka wachakachue?
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Dada Regia..piga moyo konde...utashinda...

Cannot believe tunatawaliwa na wezi wa mchana no wonder hatuendelei...wanajifanya wana dini ...dini gani ina support dhuluma. Wote ni wafuasi wa mwovu.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Huu ni uongo wa wazi wazi ..CCM na NEC wanatufanya sisi wajinga wanadhani wote hatuna upeo wa kuelewa kama wao
 
Kazi iliyobaki ni kuwachisha kazi CCM rasmi mwaka 2015, kwani hizi ni rasharasha kwao mvua ya mafuriko kamili ni 2015. Majambazi wa wajane, yatima, wazee, maskini, wagonjwa etc hakika hawastaili nadhani hata shetani mwenyewe ameshaanza kuwakana !!!!!!!!!!
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Kwa Tunduru hiyo ni sawa, huko upinzani ni CUF na CCM tu, Chadema haina nguvu kabisa huko, ata kwenye ubunge CCM imepata 19,000 kwa 17,000 za CUF wakati Chadema wana 604 tu.

Hapa ndipo tunapopata umuhimu wa muungano wa Chadema na CUF, kuna maeneo ya ukanda wa Pwani na Kusini ambayo kwao chama cha upinzani ni CUF tu.
 
Je kuna taarifa zozote kuhusiana na Dada Regia huko Kilombero?[/QUO

WANA-CHADEMA NA WAPINGA MAFISADI WA KUANZIA KIDATU, MSOLWA, SANJE, MANG'ULA, KISAWASAWA, KIBEREGE, SIGINAL, SAGAMAGANGA, LUNGONGOLE, KIKWAWILA, KAPOLO, KIBAONI, IFAKARA, MLABANI, LUMEMO, LIPANGALALA KIYONGWILE, MACHIPI, IDETE, MIWANGANI, NAMWAWALA, LWIPA, MBINGU, MNGETA, IKULE, CHITTA, MLIMBA MPAKA MASAGATI!! HAMIENI IFAKARA BOMANI, NASIKIA WANATANGAZA SAA 4 ASUBUHI MTEKETA ANAJIVUNA ANA PESA, KAUNGANENI NA DADA YETU MWANA HARAKATI KUPINGA UONEVU.

KILOMBERO NA ULANGA MPAKA MALINYI UNASHANGAA WANACHAGUA WABUNGE WA CHAMA KISICHOWASAIDIA TANGU UHURU, YAFUATAYO NI MATATIZO SUGU YA WATU WA HUKO:

  • HAWANA BARABARA, UKISAFIRI KWENDA ULANGA NA KILOMBERO BARABARA NYEMBAMBA YA LAMI IMEISHIWA KWA 'WAWEKEZAJI WA MASHAMBA YA MIWA'
  • MILIMA NA MABONDE YAMEJAA MAJI LAKINI WANANCHI HAWANA MAJI SAFI
  • ZAHANATI NA VITUO VYA AFYA HAVINA DAWA ZAIDI YA MSAADA WA HOSPITALI ZA MISHENI
  • ELIMU BADO NI DUNI SANA PAMOJA NA BARAKA ZOTE ZA BONDE LA KIJANI LAKINI SERIKALI IMEWATUPA
  • TUNAZALISHA UMEME HUKO LAKINI VIJIJI VINGI UMEME UNAPITA KUELEKEA MJINI, UMEME WA IFAKARA PIA FEKI HUZIMIKA ZIMIKA NA HAUNA POWER STATIONS NDOGONDOGO UKIZIMIKA MKAMBA MPAKA MAHENGE
WANANCHI HAWA WANAHITAJI 'MWOKOZI' TWENDENI TUKAMSAIDI DADA YETU

'PEOPLE'S POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR!!!
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Kaka hapo ni Tunduru, sio Hai. Najua umekaa sana Jamii Forum hata ukasahau hali halisi outside the internet. What you can do, is tafuta loyal grass root leaders kila nchi, kuanzia 2010, tengeneza network ya viongozi kuanzia nyumba 10, mpaka ngazi ya taifa. Nchi nzima. Sio Kilimanjaro peke yake au in urban areas. Kila kona. Hopeful in 2015, mtakuwa mmejipanga nchi nzima.

CCM was technically started in 1929. Sasa nyie na Dr. Slaa wenu mnategemea kuiangusha kwa juhudi zilizofanywa overnight. It won't be easy, but its the beginning. And remember that CCM always re-group themselves. Kumbuka scare ya Mrema 1995 and what happened in 2000?
 
Utendaji wa Serikali ya tanzania Tusubiri hiyo miaka mitano, nakuapia, tutakuwa masikini wa kwanza Duniani labda tuuze nchi.
Au raslimali zote ziende kwa hao wanaojiita wawekezaji
 
Regia komaaa mpaka kieleweke.

Akina Mbowe,Mnyika, Zitto shukeni hapo Kilombelo mkatetee haki za wapiga kura
 
wanachadema tunaelekea kibaoni kwenda kulinda ushindi
:yield::yield::yield::yield:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom