Regia alimkwepesha pacha wake na ajali

RIP dada Regia. Mwenyezi Mungu akupe nguvu dada Remija. Kazi yake haina makosa, yatupasa kumshukuru kwa yote. Bwana alitoa, bwana alitwaa Jina lake lihimidiwe. Amina.
 
RIP dada Regia. Mwenyezi Mungu akupe nguvu dada Remija. Kazi yake haina makosa, yatupasa kumshukuru kwa yote. Bwana alitoa, bwana alitwaa Jina lake lihimidiwe. Amina.
Pole ndugu Kidukustyle, ni posti yako ya kwanza toka 2011, kweli umeguswa, may she Rest in peace.
 
Kwanini kafa yeye peke yake kwenye ile ajali? Ina maana alilengwa tu yeye? Dah, najiuliza maswali mengi na napatwa hasira alichotufanya huyu dada. Any way siwezi mrudisha duniani lakini watu wenye potential kubwa wanapaswa kujifahamu na kujilinda sana, Tanzania nzima inawahitaji sana. Mafisadi hawafi, wanakufa watu muhimu. Hatuwezi kuafford kupoteza watu wengine muhimu kwa ajali kama hivi ilivyotokea kwa Reggia.

Hapo ndipo nashindwa kuelewa, kwanini afe peke yake? Wana JF naomba mnisaidie nimesikia tetesi kuwa kuna watu wanahusika, je ni kweli?
 
Kwanini kafa yeye peke yake kwenye ile ajali? Ina maana alilengwa tu yeye? Dah, najiuliza maswali mengi na napatwa hasira alichotufanya huyu dada. Any way siwezi mrudisha duniani lakini watu wenye potential kubwa wanapaswa kujifahamu na kujilinda sana, Tanzania nzima inawahitaji sana. Mafisadi hawafi, wanakufa watu muhimu. Hatuwezi kuafford kupoteza watu wengine muhimu kwa ajali kama hivi ilivyotokea kwa Reggia.

If by any means you happen to speak to God,ask him if you
think you can question what he does.
 
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake libarikiwe. Mungu awape faraja ndugu zake na wale wote wanaoguswa. Wote tuchukue tahadhari kubwa wakati tunaendesha gari au kuwa ndani ya gari hasa pale tunapotaka kuovertake gari lililosimama au linalotembea. Ajali nyingi zinatokea hasa kwenye mazingira kama haya. Nakumbuka ajali ya wanakwaya wa Ambassodor Rwanda iliyopoteza watu watatu pia ilikuwa kwenye scenario ya kuovertake gari lililosimama kisha kukutana na gari lingine. Wale wanaoendesha viongozi wetu au viongozi wetu wanaoendesha magari ni vizuri wangehudhuria kikamilifu mafunzo ya udereva wa kujihami (Defennsive Driving Course) zinazotolewa na vyuo vinavyokubalika kuepusha hasara kama hizi kwa watu muhimu kwa taifa. Kama hakuna chuo kuna makampuni makubwa ya kimataifa hasa ya mafuta yanatoa mafunzo haya (DDC) wanaweza kuwapata wakufunzi waliobobea wakawasaidia.
 
Sijui interest za Remija kwenye siasa.
Lakini bora angechukua nafasi ya pacha wake,...may be wanafanana katika utendaji
wa kazi pia.
 
nashindwa niongee nini hapa. Binafsi nimepoteza mbunge kutoka ktk jimbo langu la uchaguzi
 
nashindwa niongee nini hapa. Binafsi nimepoteza mbunge kutoka ktk jimbo langu la uchaguzi

Tumempoteza mpambanaji, nikikumbuka mara ya mwisho kushikana mikono ilikuwa wakati wa sakata la umeya Arusha sipati picha.
 
RIP Regia...woow, what a life you lived! and i hope your passion for change and equal opportunity for everyone lives on, esp to the young adults.
 
Hivi Remija siyo mwanachama humu?

Ni mwanachama tena active sana; niliwahi kuwasiliana naye kwa karibu sana kupitia PM wakati ninakwenda Tanzania muda mfupi kabla ya uchaguzi lakini hatukupata nafasi ya kuonana. Ningeshauri achukue na kuendeleza mikoba iliyoachwa mdogo wake; tulimpenda sana.
 
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake libarikiwe. Mungu awape faraja ndugu zake na wale wote wanaoguswa. Wote tuchukue tahadhari kubwa wakati tunaendesha gari au kuwa ndani ya gari hasa pale tunapotaka kuovertake gari lililosimama au linalotembea. Ajali nyingi zinatokea hasa kwenye mazingira kama haya.
Tutachukuaje tahadhari tukiwa tunaendesha gari wakati umesema mwenyewe ni Mungu ametwaa Mungu ametoa Mungu ameua, jina lake lihimidiwe? Unadhani unaweza kuzuia mipango ya Mungu?
 
Back
Top Bottom