Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Madokta hawa???Kama ni kweli basi atakuwa amewadhalilisha wasomi.
Madokta hawa???Kama ni kweli basi atakuwa amewadhalilisha wasomi.
Ndio matatizo ya kuishia kufundishwa na walimu wa Grade A waliosoma ualimu Alharamain. Ukija kufundishwa na mtu wa PhD ndo utaelewa Ukilaza wao. Regia yupo sahihi 100%nasikitika kusema regia mtema ni kama kuku pale anaposhindwa kutofautisha phd na degree ya kwanza kwa vigezo vyovyote vile whatsoever
Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuma ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amelidanganya bunge na Taifa kwa ujumla akiongelea kushuka kwa elimu ya Tanzania.
Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu kwa kusema kusema eti yeye hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'.
Nawasilisha..
Mheshimiwa Regia mtema amesoma SUA ninamfaham sana. Huo uwezo wa kuongea na kuchambua mambo ametengenezewa na maproffessor wa SUA wamechangia kwa kiasi kikubwa kumfanya awe kama alivyo. Mimi ninafikiri ameteleza kidogo kwa hilo.
wacheni kujistify pumba na hoja za kikuku kwa sababu ya itikadi za chama.thinking capacity ya phd holder haiwezi kuwa kama ya degree holder.never!
Ina maana hata wewe una phD? basi ndio maana thinking capacity yako inashindwa kupambanua maana ya kudanganya na ukweli.
Regia yuko right kwani hujaona mtu mwenye first degree au diploma wakiweza kuchambua mambo kuliko maprofesa ? Na wewe hutakiwi kuambiwa tumia tu akili ya kawaida kuona hili
Regia big up!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ni kweli basi atakuwa amewadhalilisha wasomi.
wacheni kujistify pumba na hoja za kikuku kwa sababu ya itikadi za chama.thinking capacity ya phd holder haiwezi kuwa kama ya degree holder.never!