Reggie Bush: Ukimkosa Kim Kardashian, tafuta copy yake....

Shosti,

Mie nilikuwa naamini hivyo ila baada ya kuona wako na RayJ tena, nikajua kuwa kijana alikakoleza si kawaida. Ila sema yeye alikapata wakati bado katoto na hakajapata umbo la Mwanamke..........

Hawa wengine sijui ila Ray naona lilikuwa penzi kwelikweli.

Kim hawezi kuolewa maana yeye anaishi kwa Skendo. Akiwa mke wa mtu, atajifunga sanasana.
kim-kardashian-and-ray-j4.jpg
shem ushaiona ile tape ya ray akimkanyaga huyu bibie......
aisee toto lajua kulia hili.....
 
Yo Yo khaaa!!!!! Yaani wewe na huyu Kim ni kama koti la Mzee na Chawa.........

Shosti, umenikumbusha zile story za Bhoke kuharibu utalii wa Tanzania kwa kulala kama Gogo. Ina maana Armenia watu hawataenda kwa sababu Kim alilala kama Gogo? Kasheshe kwelikweli hii mitandao......

Ngoja niache kutukana maana nimegundua kuwa Mwanangu na Mumewe (mkwilima) wanasoma sana JF na wamejua mie ni nani.
 
hahahahaah bora uache kabla hujafedheheka....Kim feki ile mbaya,si bora hata Bhoke alitikisa viguuu
 
Hahahaaaaa, Shosti weweeeee..... Ngoja nipige kelele ya Kinyamwezi ya kike "heheelu."

Yaani kumbe Bhoke anazidi watu tayari? Ila walau Kim hakutumia kifo cha Mende maana Bhoke kuanzia mwanzo hadi mwisho, alikuwa yuko na miondoko ya Wamishonari (kifo cha mende). Ile Kamguu alikatikisa utafiri wachezaji wa Kwasakwasa enzi zao, hahahaaaa........ Pia Kim walau alikuwa anaongea na kulia ila huyu Bhoke wako, kajikalia na umarehemu mende wake :(

Sawa bana, kama nilivyosema, msinivute zaidi nikaropoka maana binti yangu yumo ndani hapa na mumewe huku mjuu wangu anakodolea SKIRINI iliyoandikwa JF ila unakuwa huru hadi wakugundue nduguzo.....

hahahhaah wakitugundua tumekwisha...sie tunamlaumu Bhoke bure tatizo lilikuwa kwa mtoto wa kiume,wakati bi dada mambo yanashika kasi anatikisa kiguu jamaa kashafika kigoma mwisho wa reli sasa unategemea nini...utaliaje bila kulizwa bwana mbona waniangusha!
 
Kaaazi kweli kweli!!
Wahusika wamejipumzikia nyie mko na kazi ya kuevaluate na kuanalyse perfomance zao vitandani!!!
 
laiti tungepata nafasi ya kuwakodolea mimacho , wewe shosti na mwenzio sikonge mnavyoselebuka kitandani.................,
yumkini tungepata cha kusema, yawezekana nyie ndo mkawa kichekesho kabisa...................
lol...mungu anisamehe bure!!!
 
kwani tatizo liko wapi tukiwa vichekesho...
 
Hahahaaaa Mbavu zangu mie.....

Umejuaje kuwa tutakuwa kichekesho? Labda bana maana sijawahi kurekodi Video na mwisho niingalie mwenyewe na kutowa comment.

Sasa na mie labda huwa najiona ni mkali, ila nikijirekodi, ninaweza kuzimia mwenyewe kama watoto fulani waliokuwa wakitaka kwenda mashindano ya kucheza. Mzee wao aliwarekodi wakicheza kwa nguvu sana (kwa mawazo yao) na mwisho akawawekea video wajione - Hawajawahi kusema tena wanataka kwenda kwenye mashindano.

hahahahahahahahahha kwa hiyo pengine maneno ya bacha yana kaukweli fulani...ila ntamshuhudisha
 
Back
Top Bottom