Reggae n Dancehall Riddimz Kali MPYA zinapatikana Hapa.

thank! Me luv reggae! Nakumbuka nikiwa frm one kwenye daftari langu badala ya kuandika jina langu nikaandika reggae night! Kuna kibao kimoja matata sana cha jimmy clief kinaitwa kwa jina hilo, ticha wa chemistry akaniuliza is that a new formula? Darasa zima hoi kwa kicheko! Toka siku hiyo likawa ndo jina langu
 
Sawa Reggae Night nimekupata vilivyo sasa basi uwe una tembelea blog yetu basi kwa reggae na dancehall hits.

HighGrade Sounds. :wacko::car::car::car:
 
Back
Top Bottom