Refa wa mechi ya azam na plisi dodoma adundw vibaya,alazwa hospitali!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
REFA aliyechezesha mechi ya Azam amedudwa hadi kulazwa hospitali kutokana na Kuibeba AZAM! inasemekana refa huyo alikuwa akisubiliwa na mashabiki KWA HAMU ili wamdunde lakin baada ya mpira kwisha *alifanikiwa kutolewa kwa ulizi mkali wa polisi lakini alipofikishwa kwenye milango ya kubadilishia nguo polisi walimuacha na *watu walimvamia na kumdunda na alijeruhiwa vibaya ikwemo sehemu ya juu ya jicho....SAFI SANA NIMEIPENDA HIYO! NAOMBA TIMU ZINGINE ZIIGE MFANO HUO KUTOA ADHABU KALI KWA MAREFA WANAOZIBEBA WAZIWAZI TIMU ZA TFF!*
soarce:michezo na majic:frusty:
 
Wee kweli hamnazo yaani wewe unaona kitendo cha kumdunda refa ndiyo cha kiungwana? I see! Na timu ikifungiwa au wachezaji kupewa adhabu mtaleta akina Tibaigana watengue adhabu zilizotolewa na TFF. Lakini sioni ajabu maana yasiyowezekana kwingine kote, bongo yanawezekana.
 
Cha msingi, kama umemuelewa mleta hoja, ni kuwa wanapochezesha mechi, walioko majukwaani sii vipofu, unaweza kukosea once, si kila kosa lako linakuwa kwa manufaa ya mrengo maalum. TFF wasipandikize ouzo wakitegemea waamuzi watalindwa na polisi, siku hizi hata polisi wanadundwa! msifikiri timu mahiri zimekufa kwa ukata pekee. WATU WANATAMBUA SASA MAMLAKA WALIYONAYO. Ukituletea za kuleta tunakusubiri uchochoroni uone kadi nyekundu unayoitegemea uwanjani kama itakusaidia. Naunga mkono hoja (kwa kuwa polisi hawalindi kura zetu zisiibiwe, tutazilinda wenyewe)
 
Hizo ishu zao za kpumbav ndo znazofanya watu washabikie timu za nje zkija bongo...mfumo mzma wa soka la bongo n 'tahaira', tabia mbaya sana refa kpendelea bt pia kumpga refa!
 
Kazi ya Yanga , ndo TFF wanaona timu nyingine zinaiga alfu wamekaa kimya
Inasikitisha sana kuona mtu kampiga lrefa anafungiwa mechi 5, huu ni upumbavu walitakiwa wawafungia mwaka na kuendelea na kama hao Azam FC wanahonga marefa nao wapewe adhabu kali kama kushushwa daraja....hatu wezi kuendesha ligi kihuni huni tu na hii tabia iliyo anzishwa na yanga ikishamili soka bongo kwisha kabisa....
 
REFA aliyechezesha mechi ya Azam amedudwa hadi kulazwa hospitali kutokana na Kuibeba AZAM! inasemekana refa huyo alikuwa akisubiliwa na mashabiki KWA HAMU ili wamdunde lakin baada ya mpira kwisha *alifanikiwa kutolewa kwa ulizi mkali wa polisi lakini alipofikishwa kwenye milango ya kubadilishia nguo polisi walimuacha na *watu walimvamia na kumdunda na alijeruhiwa vibaya ikwemo sehemu ya juu ya jicho....SAFI SANA NIMEIPENDA HIYO! NAOMBA TIMU ZINGINE ZIIGE MFANO HUO KUTOA ADHABU KALI KWA MAREFA WANAOZIBEBA WAZIWAZI TIMU ZA TFF!*
soarce:michezo na majic:frusty:

Mimi nafikiri huo siyo uungwana wa kimichezo. Hivi tumeshindwa njia nyingine zote hata tuzishauri timu zipige marefa?
 
Adundwe kabisa maana tumewachoka na kuzibeba vilabu na TFF hawasemi lolote zaidi ya kuwaadhibu wachezaji wetu.
 
REFA aliyechezesha mechi ya Azam amedudwa hadi kulazwa hospitali kutokana na Kuibeba AZAM! inasemekana refa huyo alikuwa akisubiliwa na mashabiki KWA HAMU ili wamdunde lakin baada ya mpira kwisha *alifanikiwa kutolewa kwa ulizi mkali wa polisi lakini alipofikishwa kwenye milango ya kubadilishia nguo polisi walimuacha na *watu walimvamia na kumdunda na alijeruhiwa vibaya ikwemo sehemu ya juu ya jicho....SAFI SANA NIMEIPENDA HIYO! NAOMBA TIMU ZINGINE ZIIGE MFANO HUO KUTOA ADHABU KALI KWA MAREFA WANAOZIBEBA WAZIWAZI TIMU ZA TFF!*
soarce:michezo na majic:frusty:
hahahaha...mtani nasikia leo unabebwa na mtoto wako duuu huna hata haya unamshusha daraja hivi hivi....
 
*tff ilimzawadia israel mkongo kwa kuboronga,na hayo ndo madhara yenyewe,wamzadie na huyo!:hail:*
 
Adundwe kabisa maana tumewachoka na kuzibeba vilabu na TFF hawasemi lolote zaidi ya kuwaadhibu wachezaji wetu.
Hapana TFF imekuwa ikiwafungia marefa wengi sana mfano mwaka jana karibu nusu ya marefa waliondolewa kabla ya raound ya pili kuanza hata mwaka huu marefa wengi tu wameondolea sasa kinacho takiwa ni kutoa adhabu kwa timu zinazo husika kuwa honga marefa mfanao kama hawa azam wanaonekana wana honga marefa ilikuwa kazi ya takukuru kufanyia kazi madai ya yanga na timu zinginena nikibainika basi Azamu inashushwa daraja na kesi ya rushwa inaendela mahakamani na alie husika moja kwamoja ana zuiwa kujihusisha kwenye mechezo maisha yake....na kuhakikishia wakibigwa ban viongozi/wachezaji wawili tu unatona tabia hii inakoma....
 
*tff ilimzawadia israel mkongo kwa kuboronga,na hayo ndo madhara yenyewe,wamzadie na huyo!:hail:*
Na kosa la TFF ilimeanzia hapo walitakiwa wawafungie wachezaji wa yanga hata miaka mitano pili wafanye uchunguzi wakibaini Mkongo nae alichukua mrungula apigwe ban ya maisha huku TAKUKURU wakimpeleka mahakamani yeye pamoja na Azam FC.....
 
Adundwe kabisa maana tumewachoka na kuzibeba vilabu na TFF hawasemi lolote zaidi ya kuwaadhibu wachezaji wetu.
Azam wanabebwa.....wadundweeeeeeee marefa wanapoboronga wadundweeeeeeeeeeee ....wadundweeeeeee...wamezidi!:frusty:
 
Inasikitisha sana kuona mtu kampiga lrefa anafungiwa mechi 5, huu ni upumbavu ...
Mkuu inasikitisha sana Yanga kumtetea Cannavaro. Nakumbuka mwaka fulani hapo nyuma lilitokea tukio kama la Cannavaro kwa Boban. Ilikuwa Simba Vs Moro Utd. Refa aliipa Moro penati ya bure kabisa, Boban akachukia, alipotaka kumfuata mwamuzi Kaseja akamdaka na kumkumbatia na hakumgusa wala kumkaribia refa kwa mita tatu, lakini TFF ikamfungia Boban miezi sita! Nashangaa the same Cannavaro amefanya, TFF wamemfungia mechi tatu, still Yanga wanakata rufaa eti ilikuwa iwe mechi mbili! Nakumbuka vizuri tukio lile la Boban, maana ile penati Kaseja aliipangua na Simba wakaja kupata bao la Machupa.
 
some craziness is needed to rescue Bongo soccer. Too much fuss is going on right now, with TFF giving it a blind eye. I congratulate Dodoma fans
 
Mpira wa bongo bana!... sasa kwanini refa apigwe..! ndio maana hatufiki popote...
 
Back
Top Bottom