AK-47
JF-Expert Member
- Nov 12, 2009
- 1,373
- 199
Kiongozi, nadhani hapo kwenye nyekundu ulitaka kuandika dakika tisini. For the sake of football
Hakika umeelewa alichokuwa anamaanisha
Kiongozi, nadhani hapo kwenye nyekundu ulitaka kuandika dakika tisini. For the sake of football
YouTube - Árbitro FAIL
Mambo ndiyo hayo. Refa yuko happy kabisa kuwa nimekupa goli. Na jamaa anajifanya "mimi, aka......."
i was furious to see a player control the ball with the hand before scoring, and i said, well, let give the ref the benefit of the dought, i was very furious to find later on through the slow motion that ref saw the player control the ball before scoring and he was telling him while sharing jokes but heading through the centre to start the match while he has allowed the goal to stand, and i was like, am i dreaming or what? kuna double standard au? refa aliyechezesha mechi ya marekani na kukataa goli lao kutolewa hatagusa tena kipyenga ktk mechi zilizobaki, how come ii inaonekana ni tukio la kawaida?
1.kuna ball hand na hand ball.
2.inategemea wewe ndie ulieushika mpira au mpira umekugonga kwa bahati mbaya.
2.kosa kama hilo lipo chini ya sheria namba 12 ya mpira wa miguu...faul and misconducts
Ndege ya Uchumi bana.... sasa utaonaje peke yako wakati kuna wengine wanaotizama TV?Duh, nilifikiri mimi peke yangu ndiye niliyeona
Katafute mkanda UANGALIE VYEMA..ILE HAIKUWA OFFSIDE HATA replay zimeonesha mara kibao wakati mpira unapigwa drogba alikuwa yupo katika line moja na mabeki ya Brazil!!..Ila ukiangalia hiyo clip ya youtube inaonesha vyema unless uwe na makengezambona drogba kafunga la offside nae! hilo vipi?walifungwa tu,basi 2-0
Ndege ya Uchumi bana.... sasa utaonaje peke yako wakati kuna wengine wanaotizama TV?
Kabla ya kumlaumu refa ule msitu wa mabeki wa CDVR ulikuwa wapi wakati unageuzwa kama samaki Kibua?...