redio yabembeleza....

Rog3rz

Member
Jun 21, 2012
44
26
DEM:"Naomba unisaidie kupata mchumba."
MTAALAM:"Unataka mume wa aina gani?"
DEM:"Nataka awe mchangamfu, awe anaweza
kunihadithia stori tamtamu
siku nzima, awe na uwezo wa kuniliwaza na
kunibembeleza, asitoke ndani na asiwe mbishi." .
.
.
MTAALAM:"Olewa na redio!!"
Hehehe Amakweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom