Redio Uhuru Ifungiwe Haraka kwa usalama wa Taifa!

mfamaji haachi kutapatapa, sasa mpaka wameanza kuita na vibibi kuwasaidia, nahisi wangeulizwa mwenyekiti wao ni nani wangejibu ni nyerere. acha waendelee kupiga kelele, their beautiful days are numbered

Hahaa haaa na katibu wao wangejibu kawawa.
 
Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!

Uko Bongo siku hizi eee! sikujua kama umerudi ila mawazo yako mepesi sana unachekesha!
 
Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!

Umeanza nani kakutuma kuleta huu upupu hapa. Mijitu mingine kama imelogwa. Shule ulisoma kweli wewe au ulisindikiza. Mabomu ya Gongo la Mboto na CHADEMA wapi na wapi au unataka kujaza post. Acha kukurupuka kama kunguru
 
Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!

zubeda kumbe ni mke wa tambwe hiza hata sishangai
 
Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!
Ahahahaah!!
 
Ndugu:
CHADEMA hawahusiki kabisa na machafuko!
Kwanza fahamu kuwa machafuko yameanza Tanzania Tangu nchi iingie kwenye soko huria pasipo maandalizi. Kwa watu walioenda shule wanajua kabisa hivi sasa Tanzania hakuna AMANI bali utulivu wa watu ambao wanajiuliza wachukue hatua gani baada ya kunyanyaswa kwa muda mrefu!
Kinachofanywa na CHADEMA ni kujaribu ku-defuse pressure inayojengwa na Jamii.
Trust me:- If CHADEMA keep quiet, then we wont have more than ten years before we start killing each other!!
 
Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!

Your name says it all!!
 
Mmbea na Mwongo Mkubwa wee!

Nyie mmezoea kudanganya kama kawaida yenu mwenzako kaandika:"siku ya jumatano tarehe 2 mwezi 3 mwaka 2011, muda saa 2 mpaka saa 3 usiku." Wewe umechakachua na kuandika siku ya jumatano tarehe 1 mwezi 3 mwaka 2011, muda saa 2 mpaka saa 3 usiku ili kuupotosha umma. The era of big men and impunity is finally coming to an end!
 
I was on way i hed dat, tusi lingine lilikuwa "huyu silaa kama anataka vita akagombane na mamake." roho iliniuma nilikuwa na pikipiki nikasimama nakuuliza hiyo ni redio gani waliponiambia ni uhuru nikaondoka zangu, nilijua ndio maneno wanayo wenza kuongea zaidi ya hayo ambayo hayana mbele wala nyuma.
 
MAMBO MENGINE NI KUJITAKIA. KABISAAAA UKAKAA UKATULIA TULIIIIII UNASIKILIZA radio uhuru?????? YAANI NAKUSHANGAA WEWE KUSIKILIZA KELELE ZA UHURU BADALA YA KUFUNGULIA RADIO!!!!:hand::hand::hand:
 
Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!
wewe mvivu kweli wa kutumia akili yako na hii offcourse ni kama unazo na zipo timamu.
 
daah hii radio mara ya mwisho kuisikiliza ni miaka mingi sasa tangu mgogoro wa simba na radio one ndiyo nikawa nasikiliza michezo kupitia radio uhuru....
 
Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!
We ndo yule Zubeda wa Prof Jay nini? We kule kwenye forum ya Mahusiano Mapenzi na Urafiki kunakufaa sana. ideas zako kwa ile forum zitakuwa hot kinyama. achana na hawa huku dada, kule ndo mpango mzima, au kama vip unazama jf live chat, au facebook I'm sure kwa siku utakuwa unapata watu kibao wa kuchart nao na kukuomba namba. 'u the great thinker' pia tumekukubali lakin ukifata ushauri wangu itakuwa vizuri kweli. I salute u. 'u the great thinker'.
 
Back
Top Bottom