Redio 1 ni Wanafiki?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Jana usiku wa Kucha redio hiyo ikitupasha habari kwamba baadhi ya mawaziri wamejiuzulu kupitia breaking news

Lakini cha ajabu leo asubuhi redio hiyo wakati wa kipindi cha magazeti, wakati magazeti yote yakiwemo magazeti yao kama nipashe likiandika habari hiyo. mtangazaji aliviruka vichwa vyote vinavyohusu habari hiyo.
kwa ufupi mtangazaji hakutangaza kabisa. Jee huu si unafiki
 
Back
Top Bottom