Elections 2010 REDET wako wapi na tafiti zao za Uchaguzi ?

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Sep 8, 2010
1,017
256
Waungwana wa JF mbona tangu Dr. Slaa atangazwe kugombea Urais kupitia Chadema, Tafiti zote zilizokuwa zinafaunywa na wataalam wa REDET hazipo tena?. Ni Matokeo hayapikiki tena, wameona Ngoma Nzito?
 
Hawana budget for 2010!
Wenye REDET ndio wenye TEMCO, Dr. Bana yuko busy kuorganize waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu zaidi ya 7,000, nchi nzima Tanzania na Zanzibar ambao watakuwa kwenye kila kituo mwanzo mwisho.

Matokeo ya utafiti wao wa mwisho, watayatoa katikati ya October, two weeks kabla ya uchaguzi just to set trend kwa ushindi wa CCM, amini nakuambia, hiyo ripoti itaonyuesha ushindi wa kishindo kwa CCM na wapinzani Chali!, kuwashawishi wapiga kura this time ni CCM tena!, ila Watanzania wameamka, hawadanganyiki tena, watashangaa na surprise ya October 31!, na nadhani ndio utakuwa utafiti wao wa mwisho wa hali ya siasa nchini.
 
Lakini ukweli ni kwamba watu wakihojiwa au wakiombwa kujibu maswali kwenye karatasi nasikia wanaogopa kuandika kwamba watachagua chama cha wapinzani. Wanaona sijui CCM ndio imewatuma kuwa test.:playball:
 
Yaani kabla ya kufanay utafiti wanapewa posho na rushwa na ccm unafikiri watatoa matokeo ya haki kweli....................lakini sisi watz wa sasa tunawaambia kuwa wakae mkao wa kula kwani tumewachoka sana na hatuko tayari kuendelea kuishi namna hii ktk nchi yetu tunayoipenda ambayo inazidi kucgafuliwa naccm...kuanzia tume na vikaragosi vingine ambavyo vinaisaidia ccm kwa sababu tu wanapewa sh.10,000....hata ingekuwa 5,000,000 lakini kwa nini wawe tayari kuwadanganya watz wenzao?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom