Wapenzi wa mageuzi na mabadiliko, matokeo ya tafiti hizi lengo lake ni kukatisha watu tamaa, sasa ndio zitakuwa changamoto na chachu zaidi ya kutaka mabadiliko, hiyo October 31, watu watashangaa hao Redet na Synovate, watatafuta pa kuficha sura zao na pasionekane!.

Mhh.............Kazi kwelikweli. Labda mwenzangu una unayoyajua ambayo siyajui...
Inakuuma sana ukisikia mambo kama haya ...unhaa
Hapana. Mtu kama Pasco akiwa na mtazamo kama huu inanifanya nifikirie zaidi...nimezoea kuona haya kutoka kwenu hivyo kuanza kusikia kutoka kwa watu ambao naamini wako informed na makini kama Pasco inanifanya nijiulize maswali mengi....
Umenielewa?
Imetangazwa na Synovate mchana huu
KIkwete - 61%
Dk Slaa - 16%
Prof Lipumba - 5%
Hapana. Mtu kama Pasco akiwa na mtazamo kama huu inanifanya nifikirie zaidi...nimezoea kuona haya kutoka kwenu hivyo kuanza kusikia kutoka kwa watu ambao naamini wako informed na makini kama Pasco inanifanya nijiulize maswali mengi....
Umenielewa?
Omarilyas, Omarilyas... hivi na wewe unajiweka katika kundi la watu makini ? Kasi yako, ari yako na nguvu zako za hivi karibuni katika kumtetea huyu Msanii inatuacha wengine mdomo wazi ! Ingawa siwezi kusema kwa hakika mapenzi yako kwa Kikwete na chuki zako kwa Dr. Slaa, zinachochewa na nini, but whatever it is, imekupofusha macho na kukuziba masikio, how sad !
Hata hivyo si vigumu kukisia unasukumwa na nini kwani haihitaji kuwa na kipaji chochote kile kuling'amua hilo, umelivaa kama shati na limekuganda hasa. Tuombe Mungu uchaguzi umalizike salama na wananchi wawe huru kutimiziza wajibu wao bila vitisho, upendeleo au wizi wa kura. Haka katabia ka kudanganyika kalikotawala nafsi fulani fulani kwa muda sasa, katakoma Octoba 31.