marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,199
- 435
Nimejaribu kusoma hiyo riport ila naona haina tofauti na invoice za Kinana.
Ngoja tusubir Oct 31 ndipo kitakapoeleweka.
Hata hivyo huu ni mkakati wa CCM kutegeneza mazingira ya kuiba kura ili waweze kujificha nyuma ya hivi vivuli vya Synavote na REDET.
JK akishinda msishangae Dr Bana anakuwa VC wa chuo kimojawapo.
Moja kati ya "madudu"ya yaliyoniacha hoi kwenye Report ya Synovote ni hii hapa walipowatangaza hawa ndiyo eti wabunge waliofanya vyema kwenye Bunge lililopita!Yaani Rostam na Lowassa nao ni wabunge bora?mhhhhh!
Nemroid Mkono 1% 0% 1% 1% 0% 1% 0%
Lawrence Masha 1% 1% 1% 1% 1% 1% 1%
Rostam Aziz 1% 1% 1% 0% 1% 0% 1%
Edward Lowassa 1% 1% 0% 1% 0% 0% 1%
Hamis Kagasheki 1% 0% 1% 1% 1% 1% 1%
David Mathayo 1% 1% 1% 0% 1% 0% 1%
Mohamed Dewji 1% 1% 1% 0% 1% 1% 0%
Paul Kimiti 1% 1% 1% 2% 0% 1% 1%
Bernard Membe
Omar,
Tatizo lako Dr. Slaa au mabadiliko? Hakika pona ya CCM ni wizi ila uwe wa hi-tech. Siamini hapa Mambali mapokezi ninayoyapata yakiwa na ushikiano na uelewa wa Tz ijapokuwa ni km 40 toka nzega mjini.
moja kati ya "madudu"ya yaliyoniacha hoi kwenye report ya synovote ni hii hapa walipowatangaza hawa ndiyo eti wabunge waliofanya vyema kwenye bunge lililopita!yaani rostam na lowassa nao ni wabunge bora?mhhhhh!
nemroid mkono 1% 0% 1% 1% 0% 1% 0%
lawrence masha 1% 1% 1% 1% 1% 1% 1%
rostam aziz 1% 1% 1% 0% 1% 0% 1%
edward lowassa 1% 1% 0% 1% 0% 0% 1%
hamis kagasheki 1% 0% 1% 1% 1% 1% 1%
david mathayo 1% 1% 1% 0% 1% 0% 1%
mohamed dewji 1% 1% 1% 0% 1% 1% 0%
paul kimiti 1% 1% 1% 2% 0% 1% 1%
bernard membe
Imetangazwa na Synovate mchana huu
KIkwete - 61%
Dk Slaa - 16%
Prof Lipumba - 5%
Body language inawaumbua hawa jamaa....angalia jinsi wapambe walivyo absent minded bosi wao akitoa matokeo
Kweli Mkuu bado tuna safari ndefu, tunarudi kwa kasi kwenye ujima badala ya kusonga mbele.Inasikitisha sana. Mungu isaidie Tanzania we are very far from the true world.
Tayari wamekwwishaanza kuchakacua za Oct 31! Hawa kweli ni wasanii na hata body language imewaacha uchi!