Elections 2010 REDET & Synovate hamtaweza kuzuia mabadiliko...

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Imetangazwa na Synovate mchana huu

KIkwete - 61%
Dk Slaa - 16%
Prof Lipumba - 5%
 
Imetangazwa na Synovate mchana huu

KIkwete - 61%
Dk Slaa - 16%
Prof Lipumba - 5%

huu ni uongo kabisa maana Baregu kaisha sema Slaa kashinda na tena ushindi wa majimboni tumepata zaidi ya 45% ya majimbo tuliyogombea..aaah kumbe asubuhi imefika wacha niamke!
 
Wanajikosha kwa JK baanda ya kushindwa kutoa matokeo halili pale awali. Mhhh, naona hizi week 2 zilizobaki watu watahaha kubook nafasi. Ila wajue kuwa mambo yakiwageukia hapo 31 Oct watakosa mahali pa kuficha nyuso zao.
 
Huu utafiti umefanyika lini tena si walisema waliangalia media coverage tu, baada ya kuchakachua na kumpendeza bwana wao ndio wameamua watoe, wanajidanganya na kuwadanganya CCM wanaotegemea wizi wa kura, njia zote zitakapobanwa na wizi kushindikana ukweli utajulikana wazi.
 
Wanajikosha kwa JK baanda ya kushindwa kutoa matokeo halili pale awali. Mhhh, naona hizi week 2 zilizobaki watu watahaha kubook nafasi. Ila wajue kuwa mambo yakiwageukia hapo 31 Oct watakosa mahali pa kuficha nyuso zao.
CCM maji yako shingoni inahaha kweli kweli inajaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi ambao tayari wameshaamua, Slaa songa mbele.
 
Hivi hawa nao na Sheikh Yahya kuna wa kumcheka mwenzake? Kama Jk angependwa kwa asilimia hizo angehangaika usiku kucha kutafuta mlango wa kutokea. Wait october 31 is not too far we will proove these traitors wrong!!
 
Wabongo bana nimewavulia kofia.. hizi tafiti uchwara zinashikiwa bango kana kwamba ni kijito cha maji jangwani. Kweli uono wa typical mbongo unaeza kweli hauzidi pua yake.
 
Imetangazwa na Synovate mchana huu

KIkwete - 61%
Dk Slaa - 16%
Prof Lipumba - 5%
61 + 16 + 5 = 82
100 - 82 = 18


Sasa hata kama 18% watagawana wengine, ni bora zingeonyeshwa, kwani ni nyingi mno kuzipuuzia.
 
Njaa ni kitu kingine Synovate ni wakenya so wanajikosha kwa JK asije watimua na REDET ni wasomi waliokubali kununuliwa na kuudhalilisha taaluma yao
 
Du yani in two days JK amepungua by 10% na Slaa kuongezeka kwa 4%:tonguez:
 
Hawa jamaa sijui wamesoma sayari tofauti? Hivi mtanzania anapata picha gani. Mbona tukiangalia taarifa ya habari yoyote mfano ITV NA STAR Tv kawaida taarifa zinarandana kuanzia za kitaifa mpaka michezo ila hawa Synovate, Redet/******, na waungwana wa JF mbona taarifa kwa umma hazifanani? Kama wanataka ushindani wa kweli wasubiri Box za tarehe 31. Watanzania sio wapuuzi. Sasa ivi naona kinana_CCM na Tido mhando_ CCM wanaendesha mudahalo wa watu wawili wakati walishakataa kukaa mbele ya Screen. Kama mataila wamekaa mbele ya uwanja wa nyumba wanacheza. Kura ikiibwa safari bongo hapatoshi. Hivi kweli serikali haina watu makini mpaka hawa vibaraka mbuzi. Nashindwa kupata picha. Jamani watanzania fikiria mara mbili.
 
Back
Top Bottom