REDET na Synovate wako wapi baada ya uchaguzi?

Mbona walifulia siku nyingi tu, kama sikosei wadanish waliachana nao tangu december 2010
 
ninachojua ni kwamba nyakati za uchaguzi, REDET hufanya tafiti mara tatu (ikiwa ni mara moja kila baada ya miezi minne) na hii hufanyika mwaka mmoja kabla ya uchaguzi. lakini baada ya uchaguzi, TEDET hufanya tafiti zao mara moja kila baada ya miaka miwili. Huu ndio mwaka wa pili tangu uchaguzi ufanyike. Hivyo nadhani ikifika oktoba mwishoni kabla hawajafanya utafiti mwingine na kutoa matokeo, basi tutakuwa na haki ya kuhoji kulikoni na kuamini kuwa yaliyosemwa hapo juu yanaweza kuwa kweli. So far bado hawako nje ya utaratibu wao walau kwa sasa
 
Kinachowafanya REDET wawe out of Public trust ni Reliability of their research findings. Unapokubali kutumiwa kisiasa na kuweka science pembeni basi ujue wewe ni mufilisi katika academic research.

Reliability: is the extent to which results are consistent over time and an accurate representation of the total population under study and if the results of a study can be reproduced under a similar methodology, then the research instrument is considered to be reliable (Joppe, 2000).

Matokeo yanayokuwa published na REDET are not representation of the total population and therefore the whole results are seen by the Public as flawd.

Academicians should fear CCM like 'ukoma' leprosy. One moment of associating yourself with CCM's demands can damage your research reputation for the rest of your academic life. Unless uingie kwenye siasa, Dr Benson Bana anachukulie bahati aliyokuwa nayo predecessor wake Prof. Mukandara kuwa nae itamuangukia na kujikuta ana comprimise taaluma. Leo hii mtu akiona paper yoyote yenye author Bana, B anaitrush as rubbish and unreliable. Taaluma isitumiwe kisiasa, nafikiri kwa sasa wamegundua hilo na kuona waachane na tafiti za siasa nchini kwani watalazimishwa wachapishe matokea ya uongo. Leo hii ni mbumbumbu pekee anayeweza kusikiliza na kuamini maoni ya REDET katika siasa za Tanzania. The whole notion of REDET now is useless and irrelevant.

Tunaposema elimu inashuka adui namba moja ni watu wenye fikra kama za REDET. Kwa nini ujikombe kwa wanasiasa wakati wewe unataaluma yako?. Tumia taaluma yako kwa faida ya nchi yako achana na siasa, wewe publish facts, mengine waachie wanasiasa ila ukikubali wanasiasa uliowazidi elimu mara 1,000 wakuambie nini cha kufanya ujue kuwa your education is useless.
 
[SIZE=3
Matokeo yanayokuwa published na REDET are not representation of the total population and therefore the whole results are seen by the Public as flawd.[/SIZE][/SIZE]

REDET walishawahi ku-publish matokeo ya TAFITI zao kwenye paper peer review journal? Journal gana inayoweza ku-publich UTUMBO wa REDET (Cooked data).

Juzi UTAFITI wao waliofanya na kumpatia Nape unaoneshwa kwamba CCM Arumeru Mashariki itashinda kwa 80%. Just imagine UONGO kama huu nani anaweza kuuchapisha? Labda hiyo JOURNAL ni ya CCM, inayoitwa UHURU International journal for Twisted politics.
 
HAINA ISSUE.
Mbona kenya tunapata utafiti wa renovate KUHUSU the next election kati ya UHURU,ODINGA na RUTO

why not REDET in TZ?
 
Jamani wana bodi, wako wapi wale "wanaosifiwa" kwa tafiti za siasa hapa nchini REDET. Kama labda sijapata au nimepitwa na taarifa zao basi naomba nijulishwe. Tangu umalizike uchaguzi mkuu wa 2010 hawa jamaa sijawasikia kama wameleta utafiti mwingine kuhusu hali ya siasa hapa nchini. Nani maarufu, nani kashuka,je serikali bado inaaminiwa na watanzania na mambo mengine.
Au zile tetesi za kuwa wafadhili wamekata minyororo yao ni ya kweli?
Wako wapi hawa?
 
hii REDET ni taasisi ya MUKANDALA na maprofessa wenzie pale UDSM mlimani na lengo lake hasa ni kuchumia tumbo..labda hawajapewa dili kubwa ndo maana wako kimya
 
Sasa wewe rafiki yangu hela zenyewe slaa aliwachongea wakanyimwa wanawezaje kufanya uchakachuaji wakati hawana hela?kuwa na huruma kidogo.
 
Wanasubiri 2015 uchaguzi ukikaribia waseme kuwa tafiti zinaonyesha ccm itashinda kwa asilimia 99.LoL
 
ccm wamekabwa mbavu hawajapata mwanya wa kuiba ili iwape hela za kutengeneza data feki za kuinadi ccm
 
Back
Top Bottom