REDET na balaa la Ufisadi

sikubaliani na wanobeza UD kwamba wote wameoza kwasababu REDET imekuwa kitumiwa vibaya. Kuna wazalendo wengi na wanaofanya makubwa kwa faida ndani na nje ya nchi. Si sahihi kubeza PHD za UD kwa sababu Dr.Bana amesema na anafanya kinyume na matarajio. kwa taarifa Bana hajasomea UD, kasomea nje huko mnakofikiri kuwa kunakueilimika( Manchester University), usisahau kuwa chenge alisomea Harvard, na wengi wa mafisadi ukifutilia wamesomea the so called best universities in the world. Ni kasumba mbaya na upotofu kufikiri UDSM ni REDET na REDET ndio UDSM
 
Back
Top Bottom